Baada ya kusema hajawahi Kuona Makonda akiongea Kingereza. Makonda aamua kumwaga ung'eng'e akiwa na Mchina kama majibu kwa wanaotilia Shaka uwezo wake

Makonda kwa elimu yake ya ZERO BRAIN amejitahidi sana. Maana yeye jina lake ni Daudi Bashite ila alisomea chuo jina la Paul Makonda.

Kitu pekee Makonda anawazidi watu ni roho ya ukatili na msambwanda
 
Makonda kwa elimu yake ya ZERO BRAIN amejitahidi sana. Maana yeye jina lake ni Daudi Bashite ila alisomea chuo jina la Paul Makonda.

Kitu pekee Makonda anawazidi watu ni roho ya ukatili na msambwanda

Makonda akizungumza mara nyingi anaujuzi wa kuwafanya wasikilizaji wake ambao wengi ni elimu ndogo kumuelewa.

Yaani Makonda ukimuweka hapo alafu ukamleta profesa wa udsm uwaambie watoe hotuba alafu uone nani wananchi watamshangilia. Ninakuhakikishia Makonda atashinda hiyo Mechi.

Makonda anamadhaifu mengi lakini moja ya mambo aliyobarikiwa ni kujua kucheza na akili za watanzania wengi.
Hii utake usitake.

Tofauti na Tundu Lisu.
Lisu hotuba zake anaweza kushawishi kundi kubwa la wasomi
 
Kiingereza chake ni kibovu, kibovu, kibovu mnooo yani mpaka aibu.
 
English kama cha mwanangu darasa la 6 English medium,
Viongozi jitahidini kufanya mazoezi ya kuongea hata ukiwa na mkeo chumbani na kupitia different readings like leaflets and newspapers to Improve your speech and vocabularies,
Some leaders are ashaming this nation in English speaking with foreigners.

Japo kuna wanaojua kuongea hii lugha ya Malkia kama vile wamesoma ulaya like Dr.Mpoki mkurugenzi wa MOI pale muhimbili,that daktari has smart brain with good speech. Nilishawahi hudhuria Ibada ya Kiingereza Magomen SDA Church is where I proved that medical person is smart upstairs
Jamani pale Magomeni kuna watu wanajua hii lugha kama wanakunywa maji vile, wasabato nawapenda wanajua kujipanga kwenye Ibada zao za English.I was really Impressed with that Church in terms of Biblical Interpretation, there are alot of Geniuses in that Church.
 

Yeah ni kweli wafanye mazoezi haswa kama Wana ndoto za kushika nafasi za juu zaidi kwani English ni lugha ya kimataifa
 
Makonda ameongea kiingereza kizuri kabisa na alijiamini. Makonda ana nyota kali balaaa, yule ameumbwa hivyo. Nina uhakika Arusha itapata maendeleo sana tu...
 
Makonda ameongea kiingereza kizuri kabisa na alijiamini. Makonda ana nyota kali balaaa, yule ameumbwa hivyo. Nina uhakika Arusha itapata maendeleo sana tu...
Makonda is academically dwarf, take it to the nearest bank
Kinachombeba ni kujiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ