Simu ni samsung GT-I9000 galax S ina tatizo la android market kutokufanya kazi, tatizo ni baada ya kurestore na pia simu ilinunuliwa ikiwa na gmail tayari lakini baada ya kucreat gmail mpya haisaport tena hiyo playstore, app zingine zinafanya kazi kama kawaida.
Kwenye hiyo android market ukifungua ina load muda mrefu na kuandika server error.
Ahsanteni
Kwenye hiyo android market ukifungua ina load muda mrefu na kuandika server error.
Ahsanteni