Baada ya kupigwa na Iran, Marekani inabadili goal post

Unajifurahisha kweli. Marekani kapigwa wapi?

Kwani hajapigwa, Trump alisema endapo Iran watajibu atapiga sites zao 52 lakini Iran wamepiga military base zake 2 mbona hajafanya chochote? Hata yeye anaogopa vita maana anajua anaweza poteza nafasi ya kwanza kiuchumi.

Over
 
Anauliwa generali wako mkubwa tu, halafu wewe unaenda kutupa mayai viza nje ya ukuta wa nyumba yake aliyojenga maili zadi ya 8000 kutoka anakoishi halafu unasema umelipiza kisasi? Pumbavu!
Ukivuka huu mstari nitakudunda, mwanaume anavuka na anakutandika kofi. Basi unaanza aah bahati yako wakati unavuka umeruka mstari hukuukanyaga ukaufuta, ungeufuta ungenijua mimi ni nani

Marekani hakutegemea kilichotokea mashabiki mnajipa moyo tu ia ukweli ni kwamba hakuna ambaye aisha thubutu kushambulia kambi za Marekani kwa zama hizi achana na hao waasi ambao hata wanakuwa hawajulikani wako wapi wanapigana guerrilla war, lakini nchi kama nchi ipige kambi ya Marekani na iseme kabisa sisi ndiyo tumezishambulia never ever

Muajemi kwakweli kaonyesha kwamba Amrica si not great again. Kamanda wao kauawa akiwa Iraq nao wameshambulia huko huko Iraq.

Marekani kama kidume akatupe bomu Iran sasa.
 

Muajemi na Mwarabu ni vitu viwili tofauti,acha kuongea usiyoyajua.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaotaka vita ni nyie washamba wa mtadaoni, ukweli wa haya mambo wanayajua wao wenyewe
Mamaae si mlikuwa mnashangilia shoga Trump alivyokuwa anatoa vitisho? Lakn mwanaume kajibu na kama hakuna mmarekani yeyote aliyekufa naomba basi USA aweke picha za uharibifu ili watu wajue je kwa uharibifu huo hakuna uwezekano Wa kutokea maafa?

Alizoe kushambulia bila kujibiwa sasa wanaomba kwenda mezani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran inapewa sifa kwa uthubutu,kuweza kumiliki Ballistic Missiles ambazo zimeweza kupiga target,zimeweza kutozuiliwa na THAAD(Terminal High Altitude Area Defence) ambayo ni mifumo bora kabisa ya kutungulia makombora,lakini haikufua dafu. THAAD inafananishwa kiuwezo sawa na S-400(NATO Name:SA-21 Growler) mifumo mahiri ya Russia ya kutungulia makombora anti-aircraft/missile. Yote hiyo haikufua dafu.

Iran,inaonekana ni nchi yenye uthubutu,kuchezea sharubu za Marekani kama Taifa,kwani huko nyuma ni wanamgambo au vikundi ambavyo siyo nchi huru,tena kwa kujificha huwa wamejaribu kupambana na US. Hivyo kwa nchi huru kutangaza hadharani kuwa tumepiga kambi zenu,tena kwa makombora bila woga,basi jamaa ni vidume na wako tayari kwa lolote. Hakuna ambae amewahi kujaribu,tena naweza kusema tangu shambulizi la Pearl Habour ambapo US alichakazwa Vibaya na Japan maika ya 1940's.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran sio mwarabu wala hakushiriki vita hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo deep sana mdada kwenye mambo tofauti tofauti, bravooo!!
 
Sisi tunachojua ni kwamba Makombora ya Iran yamehit target, Yaani yamegonga na kuchakaza majengo ya kambi ya marekani. kama kafa mtu au hakufa mtu sisi hiyo hatujui!
 
mkuu Tena lazma Kuna soldiers wa us wametwangwa Trump kafanya kupiga kimya ili kuzuia public panic ya wamarekan
 
Yani mkeo kapewa mimba na msela huko nje umepata hasira umeamua ulipize kwa kutembea na mke wake ili naye aumie we unapiga magoli nje


Hao IRAN wajanja wamegundua mashushushu ndio wanaompamba ndio wanaomponza, na ndio maana aliwapima kwa kuwapa offer ya 80$ milion walete kichwa cha trump. Hapo ndipo IRAN aliweza kujua nani rafiki nani mamluki

slogan ya IRAN "tumevuka mwaka lakini bado hatujavuka matatizo na tukitaka kutatua tatizo tusisababishe tatizo ambalo litaleta matatizo makubwa yatayo igharimu nchi"



It's Scars
 
saiz wanaomba kukaa meza moja wakat walisema wata ipiga iran fast and hard lakn saiz wameona jamaa wako tayal kwa lolote wanakuja kutuzuga
 
Hivi Trump baada ya kumuua kamanda alisemaje vile kwamba Iran wakithubutu atafanyaje? Nikumbushe tafadhari .....
Unajua Muajemi si mtu mzmuri aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…