Baada ya kuongea English kwa muda mrefu

Hivi mkuu unampango wa kunivunja mbavu ama..? kha hii kasheshe kwelikweli
 
Hapana, huyo katoka kwenye mashindano ya kunywa gongo, duh imemuunguza balaa!!
 
Ni mdomo wa kiba huo baada ya interview kwenye MTV awards alipiga sana ung'eng'e
 
Kumbe ndio maana mkuu wa kaya anapiga vita sana hii lugha ilio letwa na majahazi...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…