Hii siyo Hali ya kawaida kabisa. Huu ni mgomo wa wazi. Haiwezekani shahada za uzamivu na uzamili zitolewe kama kalanga hivi as if wameona liwalo na liwe tuwape tu mana hata tukijituma kufundisha no appreciation.
Hata akina Oscar eti nao wamepata shahada hizo sijui kwa akili gani na alisomaje wakati daily ni kuandika umbea na kutangangaza kibangi bangi tu.
Wanasiasa nao au Makati waku nao wanazo na zimemwagwa kama njugu mpaka wengine wanajisifu kupata gpa ya 4.5 sijui huo mda wa kusoma waliupa wapi.
Chonde chonde serikali muwaangalie wahadhiri muwaboreshee maslahi nchi inazidi kupotea kuwa na wasomi fake waliojaza vyeti tu ndani.