Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,003
- 2,107
adriz Una akili nyingi bro....nmekuelewa na upande wa simba tumieni akili acheni kupindisha, huyu feisal kaleta tamaa, na mwisho wa tamaa ni Mauti. Asipokuwa makini feisal tunamzika mapemaKwani Yanga wamemlipa kinyume na mkataba aliousaini mwenyewe ?
Je kama akilipwa vizuri kwa madai kiwango chake kinaruhusu je akishuka kiwango baada ya mkataba mpya kama ilivyokuwa kwa Nondo na baadhi hata ya wachezaji ulaya ,je klabu nayo ina haki ya kudai fedha na mchezaji kupunguziwa au Kukata mshahara kisa ameshuka kiwango ?