Hahaaa mkuu umenikumbusha mbali mimi alikula kitambulisho changu cha sekta nyeti kusema ukweli nilifanya jitihada zote za kumshika akiwa hai na kweli mungu sio jecha nilipomkamata nilienda kununu bomba la sindano na maji ya betri yale makali dadeeki nilimpa drip za kutosha hadi akaenda kwa mola