Baada ya kula bamia kwa wingi uume umegoma kulala

Hah hah haaaaa
 
Hii kitu ni kweli kabisa ukila bamia ya kuchemsha tu kwa wiki moja mfululizo inaleta Shida sana. Yani machine inasimama na unapata genye sana. Ole wako uchanganye na Buternut pamoja na mbegu zake ndio utajua maana halisi ya natural viagra

Mkuu Buternut ndio nini?
 
Ukweli ni kuwa bamia zinaboost libido hasa kwa wanawake...so kwa wale wanaoexperience uke mkavu akila bamia kwa wingi na pia kwa kuziloweka kwa maji na kunywa zinaleta utelezi😊😊😊
 
Mkubwa mpaka sasa bado unapambana na kuilaza machine ama wale wamama wazaramo wanaokaa nje walikisaidia kuilaza
 
Habari za hivi punde:
Serikali imegundua chanzo kipya cha Mapato, hatimae Wakulima na Wauzaji wa Bamia kutozwa kodi ya maendeleo (VAT)Thamani halisi kwa kila fungu la bamia itatangazwa rasmi muda wowote kuanzia sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…