Baada ya kukutana na mtu mwenye nyota ya simba

Baada ya kukutana na mtu mwenye nyota ya simba

HUYU DADA ANA MATATAIZO NA NYODO AU STRESS ZAKE HAKAZWI VIZURI AU AMEACHWA AU MUME KAMZINGU AU ANA ROHO YA KOMOA VIDADA KAMA HIVI VIPO SANA......AF VYA HIVI UTAKUTA VINALALAMA HAVIPATI MUME ..
 
Acha kuamini upumbavu msukule wa sheikh sharif majini wewe.....unaenda ofisi za watu na makosa yako af unapiga makelele,iko siku utalala central kabisa.
 
Wakuu Taarifa nzuri ni kwamba leo saa tano tumefunguliwa ofisi baada ya kulipa kiasi fulani..then mambo yameisha..nashkuru mmenipa moyo na tumebadilishana mawazo vzuri...
 
Acha kuamini upumbavu msukule wa sheikh sharif majini wewe.....unaenda ofisi za watu na makosa yako af unapiga makelele,iko siku utalala central kabisa.
Asante kwa tusi..
 
Mimi umeniacha njia panda nimesoma mala 9 kuirudia sijaelewa
 
Back
Top Bottom