Baada ya kukutana na mtu mwenye nyota ya simba

Baada ya kukutana na mtu mwenye nyota ya simba

Hii nyota ni very competitive na nyota yangu tena ni mpinzani haswa, leo kaningurumisha, nadhani siku ya leo ikiisha vizuri kesho nipikiwe pilau kusherekea.

Ilikua asubuhi nzuri baada ya kuamka na kwenda kazini, baada ya hapo asubuhi nikasema subiri nikapate bites mahali nikirudi ofisini nitulie, basi nikachukua usafiri kufika maeneo fulani hivi nikaona jengo ambalo watu wengi wanalichukia ambalo ni la mamlaka ya mapato Tanzania, kulikua na kakiporo cha submission ya kodi nikasema subir inikamalizie kabla nikikaa ofisini nimekaa.

Story inaanzia hapa baada ya kuingia ofisini nikamkuta dada fulani hivi ingawa ni wabkawaida sana ila anaonekana machachari sana, kuuliza shida yangu akasema leta documents kumpa nikaanza kuona analimbikiza penalty, huwaga nina tabia hata nikimjibu mtu vizuri yeye huwa anaona nimemjibu vibaya tu picha likaanzia hapo bana, kumbe nilikutana na mtu opposite katika nyota yangu ni Simba.

Siku ya leo siwezi kuisahau kwa mara ya kwanza tangu nianze kazi miaka mitatu, sasa basi huyu dada baada ya kunilimbikizia makodi nikamjibu simple tu "we naona hatutoelewana wacha niende ninapoenda nitakuja kucheki na wale wengine" basi nikaondoka kutoka kwa hiyo ofisi nikasepa zangu.

Nimefanya ya town nimerudi ofisini namaliza tu kunywa tea naona team ya watu kutoka TRA imevamia, wanataka details zao, basi nikawapa tumefanya malipo fresh, hapo nikaiona nguvu ya pussy, wametumwa na Manager Mkuu kuja kufunga ofisi bila complaints zozote mengine utayajua mbele ya safari.

Mmoja akauliza kuna mtu alikuja ofisini kuleta forms nikasema ni mimi akasema dooh basi umemjibu vibaya sana yule dada na barua hizi hapa sign mtakuja ofisini, nikasign kumbe ndio barua ya yule dada kaongeza penalty maradufu na limbikizo kama la mil 19 hivi wahasibu wanajua.

Sasa ofisi haina hio hela ya kulipa ghafla ivo, tunasubiri kwenda kupiga sound bila kutegemea kufanikiwa, inshu imeniangukia mimi kisa nimemjibu vbaya dada ndio sababu. Tukafunga safari na mkuu wangu kuja hadi ofisini kwao.

Yani Simba anavyotetemesha ni zaidi ya balaa, ni jina la ofisi yetu tu ndio imetawala maghorofa yote kwamba kuna mtu amekuja akajibu vibaya na kuleta fujo hapa mamlaka kwetu kule ofisi zaidi ya watu hamsini wananiangalia mimi kama kisa cha kufungwa kwa ofisi, what a shame.

Kwa mara ya pili leo nyota yangu imeangushwa na binti aisee, imebidi nitoke hata ndani ya jengo na kuomba ruhusa haiwezekani, hivyo nipo nipo tu leo ningekua na mwanamke mpenda chini angenilaumu maana hata angefanyaje isinge simama.

Ila kila lenye mwanzo lina mwisho.
Siku nyingine muww munatuchangia mb kwanza halafu ss tunakuchangia muda wetu kusoma vitu ambavyo hata ww bado huvielewi.

~Ukirudia kuisoma post yako unaweza kulia ww mwenyewe bila kunyamazishwa.
 
Hahaha yaani ni balaa aisee..nimetamani angekua mzuri ..sema ndio wakaiwa sana..kanichafulia siku cjui ata kesho naamkaje.
Muweke kiporo kwanza, huku unamfatilia details zake alafu unamtokea kiana unatongoza , hawezi kuku kumbuka mkuu
 
Mkuu ni maumbile tu ya ukimya sema watu wanashindwa kujua,tatizo wanadamu wanapenda kushobokewa.
Si kila MTU anayo elimu ya kuongea, ni sawa na mke Wangu ye anaona kaongea kawaida tu,me naona km hana soft au romantic language, mnakuwa mnatoa maneno makavu ya moto sio maneno baridi,kwa asiwawaelewa anaweza wahukumu kuwa ni jeuri au ni wagomvi.
 
Hivi hawa walimu wanafundisha vipi?? Sijaelewa kabisa ulichoandika haina tofauti na kuchanganya kande na mlenda hata kama vyote vinaenda tumboni sio kea staili hiyo [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Yani we acha tu..wengine wanasema naongea naringa,wengine wanasema nna lugha mbovu..basi ni atari tupu..lkn kiuhalisia me ni mkimya sanaa..sinaga story na raia..na kila mda nipo serious..sa cjui nn inafanya ivyo..
Itabidi sasa uanze kujifunza kupunguza huo userious
 
Siku nyingine muww munatuchangia mb kwanza halafu ss tunakuchangia muda wetu kusoma vitu ambavyo hata ww bado huvielewi.

~Ukirudia kuisoma post yako unaweza kulia ww mwenyewe bila kunyamazishwa.
Hahahahahhahahaaaaaaaa
 
Hivi hawa walimu wanafundisha vipi?? Sijaelewa kabisa ulichoandika haina tofauti na kuchanganya kande na mlenda hata kama vyote vinaenda tumboni sio kea staili hiyo [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Writting while stressed..
 
Kwa hiyo dada atakuwa nyota gani?
Huyu ni nyota ya simba kihalisia..maana c kwa jinsi alivyounguruma namna ile..ila tutampachika nyota ya fisi..

Apa tupo nje tu ya jengo tunasubiria kinachoendelea..what a bad week..
 
Umejuaje kuwa ana nyota ya Simba?
Nimejua..cha kwanza unaangalia jina lake limeanza na herufi gani na tar za kuzaliwa kati ya hivyo..sijaconsider tar ya kuzaliwa kwa hili..ila herufi ya kwanza ya jina lake exactly it is..
 
Ha haha, mbembeleze simba huyo mmalizane
Ntajishusha sana na najua kwasbb inshu bado inaendelea hatokua na effect tena maana yashabumbuluka mengine zaidi ambayo najua yapo out of control..ila yataisha tu dalili zimeanza kuonyesha...
 
Yani we acha tu..wengine wanasema naongea naringa,wengine wanasema nna lugha mbovu..basi ni atari tupu..lkn kiuhalisia me ni mkimya sanaa..sinaga story na raia..na kila mda nipo serious..sa cjui nn inafanya ivyo..
Wewe ni nyota gani...
 
Nimejua..cha kwanza unaangalia jina lake limeanza na herufi gani na tar za kuzaliwa kati ya hivyo..sijaconsider tar ya kuzaliwa kwa hili..ila herufi ya kwanza ya jina lake exactly it is..
Jina lolote laweza kuwa nyota yoyote...ukibisha uje na facts
 
Ntajishusha sana na najua kwasbb inshu bado inaendelea hatokua na effect tena maana yashabumbuluka mengine zaidi ambayo najua yapo out of control..ila yataisha tu dalili zimeanza kuonyesha...
YAMEIBUKA NINI...MAMBO YAMEANZA KUJLIKANA UKWELI AU SIO..ANAONEKANA ALIZINGUA SIO..TUPE NEWWWZZZZZ..
 
Back
Top Bottom