figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,591
- 55,207
wote tulijua amekufa kumbe kazimia tu.amekuja kuzinduka wakati wanamuingiza kwenye jeneza tayari kwenda kuzikwa.
Tukasikia sauti"nani ananiziba pua?acheni kunibanabana nipeni maji ya kunywa"..wote tukatoka nduki.sijajua sauti ilitoka kwake au ulikuwa ni mzimu.hapa nilipo presha imepanda lakini badae ntaenda tena.ntawapa updates.