baada ya kujikwaa na kunguka chini mguu juu..

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
wote tulijua amekufa kumbe kazimia tu.amekuja kuzinduka wakati wanamuingiza kwenye jeneza tayari kwenda kuzikwa.
Tukasikia sauti"nani ananiziba pua?acheni kunibanabana nipeni maji ya kunywa"..wote tukatoka nduki.sijajua sauti ilitoka kwake au ulikuwa ni mzimu.hapa nilipo presha imepanda lakini badae ntaenda tena.ntawapa updates.
 
Kweli? nani alitoa death certificate? na mlipewa rukhsa ya kumzika?
Ni bahati mlikua hamjazika, hata sipati picha ingekuwaje kama ange zindukana huo chini.... Duh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom