Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,041
- 4,297
uzi tayari, usipomnunulia wewe kuna baharia mmoja atamnunulia na jiandae kupokea udhuru badae.
Sawa jipigie makofiHabari zenu wakuu, leo buana nikiwa nimekaa zangu ofisini mara ghafla likaja wazo ninamfanyia nini babe wangu japo hata kidogo ila mradi kizawadi.
Baadae nimendelea na majukum saa tisa ikafika nikaamua kupita zangu Mlimani City nikaona mkoba mmoja mzuri na yeye anapenda mkoba. Nikaona isiwe tabu acha nijimwambafai kwa hili kubwa (sio dogo).
Nimeulizia ule mkoba nikaambiwa ni 65,000/=. Nikataka kufungua walleti nilipie mara Moyo wangu ukaanza kuniambia kwa ndani "Wewe, kumbuka kuwa kuna kuachana”. Nikagundua kuwa akili yangu ina ushirikiano mzuri.
Kila idara inawasiliana na idara nyingine. Baada ya hapo nikavunga nimepokea meseji ya mgonjwa nikamwambia dada rudisha mkoba mwanangu yupo hospitali anaumwa wakati hata mtoto sina.
Ndio hivyo wazee, leo ukiwa unamnunulia mpenzi wako Zawadi kumbuka kuna kupigwa kibuti.
Sasa hivi naelekea zangu home Mwananyamala sifanyi upuuzi tena.
Nitamtoa out tukale nyama choma na tunyanduane basi mambo ya mizawadi mikubwa asubiri nikimuweka ndani.
Ahsante sana akili yangu umeniokoa.
Happy dude
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, kanunue nyama kisha upige matonge kadhaa hukohuko halafu ndo upeleke nyumbani mle wote. Pia wakati mna kula wote hakikisha spidi yako inakuwa kubwa pia. Yaani usimpe nafasi ya kufaidi kabisa.[emoji3][emoji3][emoji3]
Habari zenu wakuu, leo buana nikiwa nimekaa zangu ofisini mara ghafla likaja wazo ninamfanyia nini babe wangu japo hata kidogo ila mradi kizawadi.
Baadae nimendelea na majukum saa tisa ikafika nikaamua kupita zangu Mlimani City nikaona mkoba mmoja mzuri na yeye anapenda mkoba. Nikaona isiwe tabu acha nijimwambafai kwa hili kubwa (sio dogo).
Nimeulizia ule mkoba nikaambiwa ni 65,000/=. Nikataka kufungua walleti nilipie mara Moyo wangu ukaanza kuniambia kwa ndani "Wewe, kumbuka kuwa kuna kuachana”. Nikagundua kuwa akili yangu ina ushirikiano mzuri.
Kila idara inawasiliana na idara nyingine. Baada ya hapo nikavunga nimepokea meseji ya mgonjwa nikamwambia dada rudisha mkoba mwanangu yupo hospitali anaumwa wakati hata mtoto sina.
Ndio hivyo wazee, leo ukiwa unamnunulia mpenzi wako Zawadi kumbuka kuna kupigwa kibuti.
Sasa hivi naelekea zangu home Mwananyamala sifanyi upuuzi tena.
Nitamtoa out tukale nyama choma na tunyanduane basi mambo ya mizawadi mikubwa asubiri nikimuweka ndani.
Ahsante sana akili yangu umeniokoa.
Happy dude
Ishanitokea iyo baada ya kumnunulia nguo ya 60000 , ikapewa kibuti
Sent using Jamii Forums mobile app
Penzi ni tofauti na kibarua, usitoe kitu kana kwamba unalipwa kwa mgongo wa zawadi! Unless uweke wazi umemnunua.
Unachopaswa kuangalia hapo ni thamani ya penzi lako kwake, kama una lithamini basi upo tayari kwa lolote, zawadi ya 100,000 siyo ishu.
Hupaswi kutanguliza kuachana, play part yako aharibu yeye!
Kesho utasikia wanalalamika ''demu wangu kanitosa kisa kapata jamaa mwenye hela''. Wazee wa kula kimasihara wanakupigia kisa mkoba!