Ulikosea sana mukuu ilibid ulitafune tuuuuu...Mkuu hujakutana na hii Kadhia..
Itakuwa aliwafanyia surprise ya ujio
demu mzuri ndio umpate kwa mtindo huo? thubutuMambo ya Digital haya, yana ambatana na mihemko kibaoooo.
BASI bwana .
Nilimeet demu mmoja mtandaoni,wa huko kilimanjaro, enzi hizo uso wa kitabu(FaceBook) imecotton fire (pamba moto), baada ya muda tukakubaliana aje Dar na akifika tu nikeshe nae one night then kesho yake aelekee kwao Magomeni.
Basi mie nikawahi stendi kusubiri gari(si unajua tena mboga inakuja) basi lilipofika nikawa nasubiri ashuke mdada mrembooo, aisee mpaka abiria wanaisha sikuona mrembo. nikapiga simu, duh mtu aliyepokea nusu nizirai au nitoke mbio, alikuwa mdada kavaa wigi kama kabeba kuku kichwani, kabeba visalfeti ndo kawekea nguo (alikuwa amesema ye ni nesi KCMC) tabu ikawa nambebeaje kisalfeti.
Nikatangulia mbele ka siko nae tukafika restaurant akaagiza soda tu, nikaset alarm kujidai nimepigiwa simu kuna dharura nikamwita boda ampeleke kwao,aisee hiyo siku ndio niligundua kumbe nokia Asha ina sehemu ya blocking![emoji34][emoji34][emoji34]
[emoji23]Yaani gari zima hakuna hata mrembo mmoja uliemuona,!!?
I smell a rat.
Ha ha haaa haaaaa haaaaa haaaaaa! Kama nakuona ulivyopata tabu! Nadhani 50% ya wanaume wanapitia changamoto hii! Yaan nesi mzima alishindwa kujipanga,"salffet"Mambo ya Digital haya, yana ambatana na mihemko kibaoooo.
BASI bwana .
Nilimeet demu mmoja mtandaoni,wa huko kilimanjaro, enzi hizo uso wa kitabu(FaceBook) imecotton fire (pamba moto), baada ya muda tukakubaliana aje Dar na akifika tu nikeshe nae one night then kesho yake aelekee kwao Magomeni.
Basi mie nikawahi stendi kusubiri gari(si unajua tena mboga inakuja) basi lilipofika nikawa nasubiri ashuke mdada mrembooo, aisee mpaka abiria wanaisha sikuona mrembo. nikapiga simu, duh mtu aliyepokea nusu nizirai au nitoke mbio, alikuwa mdada kavaa wigi kama kabeba kuku kichwani, kabeba visalfeti ndo kawekea nguo (alikuwa amesema ye ni nesi KCMC) tabu ikawa nambebeaje kisalfeti.
Nikatangulia mbele ka siko nae tukafika restaurant akaagiza soda tu, nikaset alarm kujidai nimepigiwa simu kuna dharura nikamwita boda ampeleke kwao,aisee hiyo siku ndio niligundua kumbe nokia Asha ina sehemu ya blocking![emoji34][emoji34][emoji34]
Hakika,wengi Wao ni warembo! Wanategemea make up!Wanawake weng wa Mtandaon sio wazuri, Weng sana....