Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,086
Donald Trump ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa Marekani ni mtu asiyekuwa na uzoefu wowote wa masuala ya siasa wala hajawahi kushika nafasi yeyote ya ngazi ya kisiasa ama kiutawala nchini mwake mbali kuwa mfanyabiashara aliyefanikiwa.
Kitu cha kwanza ni jinsi atakavyoweza kuwaunganyisha wamerekani waliogawanyika vibaya baada ya uchaguzi wa nchi hiyo ukichukua Donald Trump hakushinda (popular vote) pamoja na chama chake kupata ushindi mkubwa kwa kupata viti vingi vya useneta na bunge la wawakilishi.
Donald Trump ni mwanasiasa mgeni katika chama cha Republican na viongozi wengi wa waandamizi wa chama hicho walimuona Donald Trump kama sio chaguo lao kama mgombea Urais wa chama hicho tutegemee Donald Trump kuwa na baraza la mawaziri ambalo litakuwa halina viongozi wasiokuwa wazoefu.
Donald Trump ameanza kutoa kauli ambazo zinaenda kinyume na ahadi zake alizitoa wakati wa kampeni kwa mfano Obamacare masuala yanayohusu afya, alisema ataifuta hii sera ya afya lakini jana wakati akihojiwa na gazeti alisema hatabadilisha hiyo sera na ataicha kama ilivyo. Donald Trump ni mtu wa kuropoka ovyo na anapenda kutoa kauli za kejeli ni hii ni hatari sana kwa kiongozi wa taifa kubwa kama Marekani.
Kuhusu sera ya nje Donald Trump atakuwa na kazi kubwa ya kujenga uchumi wa nchi yake kwahiyo misaada mingi kwa nchi za kiafrika zitapungua sana, faida ambayo nchi za kiafrika zitafaidika nayo ni Donald Trump hakuwa chaguo la makampuni ambayo yanayofanya biashara ya kinyonyaji na nchi za kiafrika kama uchimbaji wa madini serikali ya Donald Trump halitakubaliana na unyonyaji wa madini kutoka nchi hizo. Viongozi wengi waliotagulia Marekani huwa wanapewa fedha nyingi wakati wa kampeni ili watete mikataba hiyo ya kinyonyaji, wakati wa ziara ya Barack Obama hapa Tanzania alikuja kwa shindikizo la kampuni ya General Motors ya Marekani ili kuja kubariki ule mradi ulioleta hasara kubwa kwa taifa hili Symbioun.
Kuhusu utajiri wa Donald Trump ni mtu ambaye anapenda publicity utajiri wa Donald Trump unaingia mara mbili kwa utajiri aliyonayo bilionea wa Afrika Dangote