Tena kuna vitu wamevipunguza. Ukiuna ukweli wenyewe hutatamani kuitwa muafrika hata kidogo. Ukitaka kujua zaidi kuhusu blood diamond, fuatilia historia ya mji wa Freetown Siera leonkwani hiyo movie ni based on true fact na ikiwa ndio kwa kiwango gani ili tuweze kujadili facts na fictions
Rejea kauli ya Trump utapata jibuNaangalia blood diamond kwa mara nyingine tena.
Najikuta na maswali mengi kuhusu mustakabali wa bara la Afrika.
Hivi kuna nchi watu wanaishi maisha haya? Kuuana na kuchinjana kama kuku? Nchi kushindwa kujitawala hadi makundi ya waasi wanashika sehemu kubwa ya nchi.
Wapi Afrika tumekosea? Tunashindwa kuzitumia hizo 'resources' kuleta maendeleo? Badala zinakuwa ni laana.
Wananchi wa kawaida hata siku moja sidhani kama wanatamani kama hizi resources kuwepo kwenye nchi zao. Zisingekuwepo wangishi kwa amani.
Hatukuwahi kustahili kuwa na hizo 'resources'.
Sure, ubinafsi ndio unaotumaliza Waafrikasababu ya ubinafsi wa viongozi wengi Africa, wazungu wanatumia nafasi hiyo kutugawa, jiulize waasi wanauziwa na nani silaha genuine kuliko hata za serikali. ile filamu ukiicheki vizuri unakuta Leonardo DiCaprio yule mzungu aliact kama dalali wa yale madini
Ubinafsi na uroho wa pesa/madaraka. Hiyo movie niliweza kuiangalia mpaka mwisho nikawaza na kuwaza nikabaki kusema Mungu tusaidie na shida zetu tusifike huko.Sure, ubinafsi ndio unaotumaliza Waafrika
Inasikitisha mno. Na ukiingalia unauona uhalisia kabisa. Kweli Afrika bado tuna safari ndefu ambayo haitakaa ifike mwishoUbinafsi na uroho wa pesa/madaraka. Hiyo movie niliweza kuiangalia mpaka mwisho nikawaza na kuwaza nikabaki kusema Mungu tusaidie na shida zetu tusifike huko.
Hawa ni dini sio resourcessababu ya ubinafsi wa viongozi wengi Africa, wazungu wanatumia nafasi hiyo kutugawa, jiulize waasi wanauziwa na nani silaha genuine kuliko hata za serikali. ile filamu ukiicheki vizuri unakuta Leonardo DiCaprio yule mzungu aliact kama dalali wa yale madini
Huwezi muomba Mungu akusaidie kwenye ujinga wako ambao unaweza kuutatua bila hata kumuomba.Ubinafsi na uroho wa pesa/madaraka. Hiyo movie niliweza kuiangalia mpaka mwisho nikawaza na kuwaza nikabaki kusema Mungu tusaidie na shida zetu tusifike huko.