IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,551
- 2,695
Kama Mimi tuHata mimi nashida hiyo hiyo ninachojua mara nyingi mizigo midogo ndiyo inavyokuwa wanachelewesha sana ishanitokea zaidi ya mara 3 hii ni cover ya simu nasikilizia hizo siku tatu zilizobaki then nicheck nao.
View attachment 1186494
Lakin uliipata japo kwa kuchelewa au ilikuajeHata mimi nashida hiyo hiyo ninachojua mara nyingi mizigo midogo ndiyo inavyokuwa wanachelewesha sana ishanitokea zaidi ya mara 3 hii ni cover ya simu nasikilizia hizo siku tatu zilizobaki then nicheck nao.
View attachment 1186494
Kwaiyo nikaulizie posta kwanzaMimi kuna mzigo niliupokea hata kabla hiko kionyesha ndege hakijafika mwisho
Sawa Mangi sasa omba verified ID tu maana tumekwisha kufahamu huna haja yakutumia KurunziHata mimi nashida hiyo hiyo ninachojua mara nyingi mizigo midogo ndiyo inavyokuwa wanachelewesha sana ishanitokea zaidi ya mara 3 hii ni cover ya simu nasikilizia hizo siku tatu zilizobaki then nicheck nao.
View attachment 1186494
Hii standard shipping ipoje mkuunext time chagua seller mwenye option ya 'aliexpress standard shipping'
izo shipping zingine ni pasua kichwa
mkuu, ukaamua kuanika na 'details' zako kabisaHata mimi nashida hiyo hiyo ninachojua mara nyingi mizigo midogo ndiyo inavyokuwa wanachelewesha sana ishanitokea zaidi ya mara 3 hii ni cover ya simu nasikilizia hizo siku tatu zilizobaki then nicheck nao.
View attachment 1186494
flat fee ni 3 usd kwa mizigo ya 'kawaida', hua inachukua siku 15 kufika, sinaga shida na hii hata siku mojaHii standard shipping ipoje mkuu
Mkuu hzo details hapo chini ni sawa ulivyoziacha?Hata mimi nashida hiyo hiyo ninachojua mara nyingi mizigo midogo ndiyo inavyokuwa wanachelewesha sana ishanitokea zaidi ya mara 3 hii ni cover ya simu nasikilizia hizo siku tatu zilizobaki then nicheck nao.
View attachment 1186494
Itabid niwe nafanya ivi kuepuka hii mizengoflat fee ni 3 usd kwa mizigo ya 'kawaida', hua inachukua siku 15 kufika, sinaga shida na hii hata siku moja
Sorry mkuu hivi huwezi kununua kwa simu,make kwangu naona inanigomea had computer!Heshima kwenu wakuu, Twende kwenye mada Niliagiza mzigo kampun iyo hapo juu, mpaka kuwasili ilionesha wiki 6 ambayo ni tar 16 ya mwez huu wa 8 toka tareh 12 ya mwez wa 7. Sas ile tarehe imewadia na kwenye track inaonyesha tareh zimeshafutika tayr na zimepita siku chache , sasa nahitaj kujua wale wazoefu hii ishu ipoje japo kwenye email wameandka finalized ya kila kitu na kuachia malipo yangu ni tar 12 ya mwez Wa 9 it means ikitimia tarehe iyo basi akuna tatizo na malipo yana achiwa. So nisubir mpaka Wa Tisa au ipoje hapo?
Au direct niend kweny open dispute maana sija confirm mzigo kupokea na ship inaonyesha kwenye iyo screen short bado kidogo Kufinish.
kwaiyo nisubiri au vipi pia sijapokea email ya mzigo kuwasili,
msaada wenu wale wazoefu Asanteni.
Poleni kwa mtakao ona uhandshi mbovu.
Sorry mkuu hivi huwezi kununua kwa simu,make kwangu naona inanigomea had computer!