Baada ya kuachana

Wambeya wa JF watakuwa wanahaha kujua ID yako ya zamani na sababu zilizokufanya ubadili ID hiyo, wasikukoseshe usingizi Mkuu fanya vile wewe unaona sawa. Wambeya ndivyo walivyo!!!! Mxcyuuuuuuuuuuu!


Sure mkuu BAK na watahaha sanaaaa
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Hahahah Majigo lkn mambo mengine yanarekebishika bwana....af muda mwingine huwa mnatuendekeza hivi akikupiga mzinga umwaambie huna hela unapatwa na kichomi?

we! Nimwambie sina hela?!!
Labda nisiwe na mali ya kuwekeza rehani!
 
Last edited by a moderator:
we! Nimwambie sina hela?!!
Labda nisiwe na mali ya kuwekeza rehani!

Uoga wako ndio umaskini wako....sasa hivi una hela na mali za kuwekeza rehani,hivyo ndivyo vimeshikilia mapenzi yako...vipi ikitokea umefulia kweli utafanyaje? Na ukiachwa ktk kipindi hicho unaweza hata kunywa sumu au ukayachukia mapenzi
 
unaona picha zake tena anaonesha
he o she is happy zaidi ndo unazidi
JICHUKIA na kujiona kama wewe
ndo ulikua a PAIN in his or her as.
Hapa haimati kama wewe ndo
ulizingua ama yeye the thing is
KUACHANA. Poor me,
nakukumbuka mpaka kesho you
were the best and you will always
be.
I wish i could turn back the hands of
time.))))))

nilishajichukia zaid yako mweee kiburi kiliniponza loo
 
So kila mtu anaepost picha kwenye social media meno nje eti anakuwa anafuraha...nwingine ni just kum fool mpenzi wake mpya na artificially kumuumiza ex wake....these love things is just bullshi.tt
 
I got this icebox where my heart used to be...Loosers paradise...!!
 
Poleeeh na ukome kuchezea bahati eeeeh,me am really at peace nowadays...the heartbreak is overrrr....
 
Doing just fine-Boys 2 men

Let the past be and look ahead...love is a beautiful thing.
 
hivi kuna dawa ya kupunguza mafuta au mazoezi ndooo hupunguza mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…