kipusatembo
Member
- Jun 19, 2014
- 88
- 29
- Thread starter
-
- #61
pole mwaya!
xfactor Gwara mjamaa umesema vitu ambazo zimeniingia kunako moyoni ngoja ntake action sasa faaaasta lazma nimsahau....... U know sikuaga mlevi lkn at last nkajikuta nakua chapombe wa ajabu eti nimsahau...... Aloooo mapenzi achana nayo kabisaaaHii ndio sababu ya wewe kuumia na kumkumbuka.
Hujapata aliyemzidi na inaonekana ukipata mtu una compare na Nana,kwa namna hiyo utaumia milele sababu wanaume huwa tuna tabia tukiachana na gf unadhamiria kutafuta aliye mshinda kwa uzuri na inakuwaga ngumu most of the times.
Cha kufanya block her kwenye social networks zote ili usiwe unaona post zake then anza kuishi maisha yako na si maisha ya kuendeshwa na fikra za uwepo wake
Asante mwaya.
aseeeeee!xfactor Gwara mjamaa umesema vitu ambazo zimeniingia kunako moyoni ngoja ntake action sasa faaaasta lazma nimsahau....... U know sikuaga mlevi lkn at last nkajikuta nakua chapombe wa ajabu eti nimsahau...... Aloooo mapenzi achana nayo kabisaaa
hahahahahaha
ukimaliza kulia lia huku unipigie simu tukale firigisi!
Hilo tuu usijal kabisa na ulijuaje kama napendaga hihihihihi........... Dondosha digits sasa faaaaaasta......
Kuna vitu vingine havisameheki jamani!!
Nokia83 ni mwaka kama na miezi toka nmepigana chini na Nana wangu rasmi na hapa kati nkatumbukia siko sa nw najikuta namkumbuka saaana Nana wangu...... Hataki nsamehe turudiane anadai ana mtu i hurted her nakubali ila nshajutia sana na kujiona mkosaji na kujua what ws my p........ Ila ndo hvo guess it is too late
we maliza kwanza kulilia kipusabebi ulichokibalasa!
na we naeeee una kiranga!
ulimuachaje sasa ?
sa hiz karoho kanaumajeeee ,kawaje mcuteeeee,hihihihihihi !
Why Lady in action unamchukia ex wako??! Si vizuri ujue..... And thats wht is eatin and killn me now maana mi sina ugomvi nae ila sasa yeye ananchukia saana kiasi kwamba hata amani nae hataki. Kila mtu huanguka ukigundua mtu anaregret msamehe maisha yasonge.
Sizan kama itakuja kutokea kwangu coz yeye nisababu ya maisha yangu kuwa hivi namchukia sana sana tena saaaaana
Karibu JF na pole sana kwa kuachana na mpenzi wako.
xfactor Gwara mjamaa umesema vitu ambazo zimeniingia kunako moyoni ngoja ntake action sasa faaaasta lazma nimsahau....... U know sikuaga mlevi lkn at last nkajikuta nakua chapombe wa ajabu eti nimsahau...... Aloooo mapenzi achana nayo kabisaaa
sijui kwa nini
huwa siamini kama wanaume wanaumizwa na mapenzi
Karibu JF na pole sana kwa kuachana na mpenzi wako.
Aisee mimi huwa simkumbuki aisee. Huwa najitahidi sana kukumbuka mabaya yake af kila nikimkumbuka naachia bonge la sonyoo...baada ya muda anakuwa amenitoka kabisaaa
je, kama mazuri yamezidi nguvu mabaya?