kipusatembo
Member
- Jun 19, 2014
- 88
- 29
- Thread starter
-
- #41
Kim nana umeongea kitu cha maana sana and that is what is needed....... By da wei id yako inantisha ndo wewe nini maana na yeye anajiitaga Nana hivo hivo........Jifunze kusamehe, me nlikuwa namchukia sana...ila nimejifunza kusamehe nimemsamehe...coz nimegundua pamoja na mabaya yake pia alikuwa na mazuri yake
Pia amenifundisha kutowaamini wanaume, amenikomaza kihisia na kifikra.....baada ya kuachana ndo nilianza kujua rangi halisi za maisha na za binaadamu....namshukuru.
Msamehe, usimchukie utaishi kwa amani....
Ww una muda gan toka uachane na jamaa?
Binafsi namchukia sana my X mungu anisaidie tu
Aisee mimi huwa simkumbuki aisee. Huwa najitahidi sana kukumbuka mabaya yake af kila nikimkumbuka naachia bonge la sonyoo...baada ya muda anakuwa amenitoka kabisaaa
Aisee mimi huwa simkumbuki aisee. Huwa najitahidi sana kukumbuka mabaya yake af kila nikimkumbuka naachia bonge la sonyoo...baada ya muda anakuwa amenitoka kabisaaa
Mhh, U cant be serious...hii just ID tu.
Wote tuseme aaameen.... Natania jamani lol
"Ameeen", natania pia....hahahaaaa
Nokia83 ni mwaka kama na miezi toka nmepigana chini na Nana wangu rasmi na hapa kati nkatumbukia siko sa nw najikuta namkumbuka saaana Nana wangu...... Hataki nsamehe turudiane anadai ana mtu i hurted her nakubali ila nshajutia sana na kujiona mkosaji na kujua what ws my p........ Ila ndo hvo guess it is too late
You got to live with it. Mara nyingi hatujui thamani ya watu, vitu mpaka vitakapoondoka.
Poleeeeeeee.
Santeee tishapoaga tinakuja huku kujiliwaza tuuu...... Hihihihihi
Usimuwaze wa zamani mkuu
Hujawahi kupenda wewe,