Badilisha Hilo Jina unalotumia mkuu. El Elyon is an ineffable name. It means Lord God the Most High. Are you the most high? Laana nyingine huwa mnajitakia wenyeweWakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Leo naendelea na kisa cha aliyekuwa mwanamke wangu muha WA kigoma.
Sasa RASMI niliamua kuondoka zangu nakumbuka niliamka alfajiri Sana kujiandaa maana nilikuwa nalala sebuleni tena chini nimetandika godoro yea alikuwa analala chumbani na mtoto.
PolE aiseeNi kWeLi halikuwa lengo kabisa Ila si unajua mkiunganisha vikojoleo impact yake ni hiyo sasa
Mkuu pole Sana Kwa kutokujua Mambo aisee Kwa taarifa yako mi ni mlokole hasa na maandiko nayajua vema.Badilisha Hilo Jina unalotumia mkuu. El Elyon is an ineffable name. It means Lord God the Most High. Are you the most high? Laana nyingine huwa mnajitakia wenyewe
Mkuu Tatzo humjui Mtu ninayepambana naye Yule alishaapa lazma anifunge Tu. Kuhisi mtoto sjamtelekeza nilimwambia anipe mtoto Wangu niondoke naye akajibu. 👉 Labda uniwekee panga shingoni unikate kichwa ndo uchukue mtoto.Hivi mkuu hujui matumizi ya BLOCK kwenye simu. Unajitenga na ndugu zako kwa kuogopa mwanamke.
Bahati mbaya ambalo hujajua umemtelekeza mtoto wako pia.
Na bahati mbaya hujui Nina ndugu WA Aina gani aisee kuna majitu ni manafiki Sana ukae ukijua.Hivi mkuu hujui matumizi ya BLOCK kwenye simu. Unajitenga na ndugu zako kwa kuogopa mwanamke.
Bahati mbaya ambalo hujajua umemtelekeza mtoto wako pia.
Sasa kama huna kabisa mawasiliano dogo unamsaidia vipi? Au umepiga chini woote au zile "COINS NYINGI" bado anazo?Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Leo naendelea na kisa cha aliyekuwa mwanamke wangu muha WA kigoma.
Sasa RASMI niliamua kuondoka zangu nakumbuka niliamka alfajiri Sana kujiandaa maana nilikuwa nalala sebuleni tena chini nimetandika godoro yea alikuwa analala chumbani na mtoto.
Shari yako mkuu. Just mark my words. Hilo Jina wayahudi wenyewe hata kulitamka Tu hawalitamki hovyo hovyo wewe umeona ndo ulitumie kama user name at jf ?Mkuu pole Sana Kwa kutokujua Mambo aisee Kwa taarifa yako mi ni mlokole hasa na maandiko nayajua vema.
El Elyon NI sifa ya Mungu kwamba ni aliye juu Zaidi hii ni sifa si jina lake.
El Gibor ni sifa ya Mungu kwamba mwenye nguvu si jina la Mungu.
El Shadai ni sifa ya Mungu kwamba asiyepungukiwa au mtoshelevu si jina la Mungu. Ndo like jina maarufu la Elisha watu wanaitwa ndo hiyo el Shadai.
El Ohinu ni sifa ya Mungu kwamba Hana WA kufanana naye ni WA pekee si jina la Mungu.
Rafa ni sifa ya Mungu ikiwa na MAANA mponyaji si jina la Mungu.
KAMA NINGEJIITA JEHOVAH AU YAHWEH hapo kweli ingekuwa shida Ila nmejiita sifa za Mungu kwamba NIPO juu Zaidi kuliko wachawi, waganga, magonjwa, shetani
Siogopi chochote maana NIPO juu Zaidi ya hila na wenye hila.
Nina mtoto Wangu nimemuita EL GIBOR kwamba ana nguvu ya kushindana na chochote.
Kama hujaolewa basi amini unavyoamini mkuu.
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Leo naendelea na kisa cha aliyekuwa mwanamke wangu muha WA kigoma.
Muha Hatari SanaKazi kweli kweli