Baada ya ku-install hio pes nimeshangaa wakati wa kuifungua inaniandikia kama picha inavoonesha chini apo sijui nimekosea nini au wapi na nifanyaje?View attachment 1095632
Pes 2017 smoke yangu inaleta maneno ya france wakat wa ku install na ukifwatilizia inavotaka inainstall ila ukitaka fungua inaandika d3dx9_43dll na msvcp 100 dll was not found nimefut na ku install ten inaleta vilevile naomba msaada jamani na baad ya install inasema access denied