Chukua VW Touareg Ila chukua yenye 3.0TDI. Hio ya 2.5Tdi unazingua sana system ya ac/alternator.Ilikuwa ndoto yangu ya muda angalau niwe na usafiri wa kueleweka sikuwa nahitaji kuwa na mkebe wa gari ...hiyo kitu sikuitataka kabisa
Sasa kuna mishe nilikuwa nazifanya naona zimetiki na hapa nipo na machaguo mawili na moja ndilo natakiwa kuchukua kwa kipindi hiki
Nahitaji wenye uelewa mpana wa hizi ndinga :
Land Rover Discovery 3 TDV6 HSE diesel ya mwaka 2008 chasis # SAL 788 cc 2700
Na hii Volkswagen Tuareg TDI diesel ya mwaka 2009 chasis # WVG148 cc 2500
Nataka kujua haya
1.Ulaji mafuta
2.Uwezo wa kuhimili rough road
3.Uimara (sitaki gari ya miaka 2 inakuwa imeshaisha nataka alinunua babu hadi...)
4.Na mengineyo kama yapo
View attachment 985298View attachment 985299View attachment 985300View attachment 985301View attachment 985302View attachment 985305
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mbwembwe kijana. Chukua vitz new model. Hata ulaya na marekani mnakoiga kila kitu wananunua Sana vitz. Mm yangu naitoa Leo bandarini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ndoto yangu ya muda angalau niwe na usafiri wa kueleweka sikuwa nahitaji kuwa na mkebe wa gari ...hiyo kitu sikuitataka kabisa
Sasa kuna mishe nilikuwa nazifanya naona zimetiki na hapa nipo na machaguo mawili na moja ndilo natakiwa kuchukua kwa kipindi hiki
Nahitaji wenye uelewa mpana wa hizi ndinga :
Land Rover Discovery 3 TDV6 HSE diesel ya mwaka 2008 chasis # SAL 788 cc 2700
Na hii Volkswagen Tuareg TDI diesel ya mwaka 2009 chasis # WVG148 cc 2500
Nataka kujua haya
1.Ulaji mafuta
2.Uwezo wa kuhimili rough road
3.Uimara (sitaki gari ya miaka 2 inakuwa imeshaisha nataka alinunua babu hadi...)
4.Na mengineyo kama yapo
View attachment 985298View attachment 985299View attachment 985300View attachment 985301View attachment 985302View attachment 985305
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sijui magari ila bro Discover iko good na gari zote hasa Range nazikubaliIlikuwa ndoto yangu ya muda angalau niwe na usafiri wa kueleweka sikuwa nahitaji kuwa na mkebe wa gari ...hiyo kitu sikuitataka kabisa
Sasa kuna mishe nilikuwa nazifanya naona zimetiki na hapa nipo na machaguo mawili na moja ndilo natakiwa kuchukua kwa kipindi hiki
Nahitaji wenye uelewa mpana wa hizi ndinga :
Land Rover Discovery 3 TDV6 HSE diesel ya mwaka 2008 chasis # SAL 788 cc 2700
Na hii Volkswagen Tuareg TDI diesel ya mwaka 2009 chasis # WVG148 cc 2500
Nataka kujua haya
1.Ulaji mafuta
2.Uwezo wa kuhimili rough road
3.Uimara (sitaki gari ya miaka 2 inakuwa imeshaisha nataka alinunua babu hadi...)
4.Na mengineyo kama yapo
View attachment 985298View attachment 985299View attachment 985300View attachment 985301View attachment 985302View attachment 985305
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sijui magari ila bro Discover iko good na gari zote hasa Range nazikubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba kujua hiyo mikebe ndo nini?
Anhaa na je,hiyo tourage hebu tupe ABC zake bossNi kweli ila reliability ndio tatizo,zile disco tdi ndo kilikua chuma kile,td5 ilikua poa pia ila disco 3&4 ni hivyo hivyo reliability sio kihivyo
Ndio maana watu wengi wenye disco 3&4/Range hua ana gari yake nyingine reliable kwa ajili ya day to day activities.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante mkuu kwa ushauri lkn nyingi ni automaticDiscovery 3 2.7l ni ya diesel hio so consumption yake ni ya kawaida sana,akipata manual inakua poa zaidi ila akirogwa akanunua disc.3 ile v8 4.4l atajuta aisee maana consumption yake ni 1lt/5km saa nyingine inashuka mpk 1lt/4km kutegemea na uendeshaji wako.
Disco.3 ina magonjwa ya ajabu ajabu sana sio reliable kihiivyo,zile air suspension tu zikizingua mamilion yatakutoka unless uzibadili kwenda standard suspensions though ule utamu wa gari unapungua,kuna siku unaamka tu limeroga milango haifunguki ukimleta fundi jiandae kwa mpunga kukutoka vzr tu. etc
Spare parts ziko shops kibao though pia bei yake imechangamka kiaina yake.
Apart from matatatizo mengine ni gari poa sana,confortable,off-road liko poa pia though kutokana na maintainance costs zake mtu unaogopa kulipeleka hata offroad.
Ukifanikiwa kamata hio disco.3 2.7l manual HSE kula maisha,maisha ni haya haya tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums