Baada ya kipindi cha msoto wa muda mrefu hatimaye ndoto imekuwa kweli

Duh

Mpaka umefikia level ya kununua hizi gari sidhani kama kigezo cha mafuta ni ishu tena!

Kama unaulizia ulaji wa mafuta mkuu nadhani kuna steji ya maisha umeruka umevamia hii...

Hizi gari ni za high end...Ulaji wa mafuta inatakiwa isiwe hoja ya kuzungumzia kabisa!
fact!
 
Ondoa kipengele cha ulaji wa mafuta kinakushushia hadhi mkuu, huwezi kuwa na uwezo wa kumiliki hayo magari halafu uulizie habari ya mafuta otherwise nunua ist,spacio,raum an the like.....
 
Ondoa kipengele cha ulaji wa mafuta kinakushushia hadhi mkuu, huwezi kuwa na uwezo wa kumiliki hayo magari halafu uulizie habari ya mafuta otherwise nunua ist,spacio,raum an the like.....
Kwani beberu hatakiwi kbs kubana matumizi?!!!...Kipindi Bush mdogo akiwa rais alikuwa anapita kuzima taa za ikulu sasa mimi si kigezo kutaka kununua kitu kikubwa hlf nisiruhusiwe kutaka kujua ulaji wa mafuta bali ni kutaka kujua tu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hiyo mikebe mkuu, chukua Buggati Chiron, utaienjoy sana , hahahah
images.jpeg.jpg
 
Discovery 3 2.7l ni ya diesel hio so consumption yake ni ya kawaida sana,akipata manual inakua poa zaidi ila akirogwa akanunua disc.3 ile v8 4.4l atajuta aisee maana consumption yake ni 1lt/5km saa nyingine inashuka mpk 1lt/4km kutegemea na uendeshaji wako.

Disco.3 ina magonjwa ya ajabu ajabu sana sio reliable kihiivyo,zile air suspension tu zikizingua mamilion yatakutoka unless uzibadili kwenda standard suspensions though ule utamu wa gari unapungua,kuna siku unaamka tu limeroga milango haifunguki ukimleta fundi jiandae kwa mpunga kukutoka vzr tu. etc

Spare parts ziko shops kibao though pia bei yake imechangamka kiaina yake.

Apart from matatatizo mengine ni gari poa sana,confortable,off-road liko poa pia though kutokana na maintainance costs zake mtu unaogopa kulipeleka hata offroad.

Ukifanikiwa kamata hio disco.3 2.7l manual HSE kula maisha,maisha ni haya haya tu.




Sent from my iPhone using JamiiForums
Unao uzoefu wowote na Landrover Defender je linaweza kukaa mpaka mjukuu alikute.
 
Back
Top Bottom