yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,444
- 2,956
Ilikuwa ndoto yangu ya muda angalau niwe na usafiri wa kueleweka sikuwa nahitaji kuwa na mkebe wa gari ...hiyo kitu sikuitataka kabisa
Sasa kuna mishe nilikuwa nazifanya naona zimetiki na hapa nipo na machaguo mawili na moja ndilo natakiwa kuchukua kwa kipindi hiki
Nahitaji wenye uelewa mpana wa hizi ndinga :
Land Rover Discovery 3 TDV6 HSE diesel ya mwaka 2008 chasis # SAL 788 cc 2700
Na hii Volkswagen Tuareg TDI diesel ya mwaka 2009 chasis # WVG148 cc 2500
Nataka kujua haya
1.Ulaji mafuta
2.Uwezo wa kuhimili rough road
3.Uimara (sitaki gari ya miaka 2 inakuwa imeshaisha nataka alinunua babu hadi...)
4.Na mengineyo kama yapo
Sent using Jamii Forums mobile app