mdesi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,373
- 2,251
Habari wana jf, naomba mnisaidie jambo moja linalonitatiza, kila mtu kulingana na imani yake, ivi mtu ukifa inakuwaje, mafundisho mengine yanasema ukifa moja kwa moja unakutana na hukumu yako, wengime wanasema utasubiri (haijulikani sehemu) siku ya mwisho itakapotolewa hukumu kwa wote wazima na wafu. kipi ni kipi jamani tuchangie kutokana na imani au kwa uelewa wako. karibuni.