Baada ya kifo cha binadamu tumeelezwa kutakuwa na machaguo mawili kwenda kwenye uzima au moto wa milele.
Moto unaozungumziwa hapo kwa wadhambi siyo huu tuuonao wenye nishati ya joto kali.
Moto imetumika tu kuashiria kiwango cha mateso watakayokutana nayo watu walioishi duniani kwa kutenda dhambi.
Uhalisia upo hivi: baada ya kifo chako utajikuta ukiwa ktk makazi mapya.
Katika makazi hayo maisha yako yote uliyoishi duniani yatakuwa bayana kwa kila mtu aliyepo hapo.
Kimsingi watu wote watakaokuwepo eneo hilo wametoka duniani baada ya kifo.
Kwa kuwa matendo yetu yote tuliyoishi duniani yatakuwa bayana basi tutaona wabaya wetu na wema wetu.
Utapokea maumivu mara dufu ya maovu yako. Yaani kwa mfano kama hapa duniani ulikamatwa ukizini na mke wa mtu, the guilt you feel itakuwa mara dufu zaidi huko kwenye makazi mapya.
Yani fikiria leo hii umekamatwa ukiiba - maumivu, udharirishaji, kipigo utakachopokea itakuwa cha mtoto ukilinganisha ni kipindi ukiwa katika makazi yako mapya baada ya kifo.
Fikiria kitu chochote kibaya unachokifanya kwa kujificha kifahamike kwa watu wote.. imagine fedheha unayoweza kupata, unatamani ardhi ipasuke ikumeza, sasa huko hali hiyo itakuwa zaidi na hutakuwa na uwezo wowote wa kujificha.
Katika makazi hayo utachapwa viboko na adhabu zingine uzijuazo kutokana na matendo mbalimbali ya uongo, wizi, usengenyaji n.k pia maumivu yake yatakuwa zaidi ya haya tuyaonayo.
Kwa upande mwingine wale waliotenda mema watapata faraja usiyopimika. Wataishi maisha yenye Neema, furaha na amani.
Kwa wanaume wasiokuwa na dhambi walizofanya duniani watakimbiliwa na maelfu ya wanawake wazuri ili watimiziwe haja zao na itakuwa hivyo kwa wanawake wema pia.
Maisha hayo kwa watenda dhambi yataenda hivyo kwa miaka 1000 then utapewa parole ya kubadilisha utambulisho wako.
Utambulisho wako unaweza kubadilishwa kuwa nyoka, swala au kiumbe mwingine then utazaliwa duniani ambapo mzunguko wa maisha mapya utaanza tena.