Baada ya JF kunizengua!

Tafadhali sana, Kitonsa alifariki zamani. Mwenyeezi Mungu amsameh dhambi zake atusameh nasi tulio hai.
 
Hivi hiyo kitu kitu nyeupe uliyoweka mdomoni ni bagia au soseji? na hayo majani yanayoning'inia ni matembele unayakausha au?
 
nimekuelewa.ila mimi nili shinda bar nime changanyikiwa toka ijumaa.
 
I think I have got some psychological problem... Realy Jf mmenisabishia psychological trauma kamwe sintosahau sijui mnipe nn niweze sahau..
 
Baadae ntakuwa mgeni wako na Kovatutakuja kufanya tathmin ya jf kutokuwepo hewan
 
mwenzio anafanya biashara kama kule tarime wanavyokodishaga ardhi ili watu walime bhange
sasa akiuza zigo lote si anakuwa tycoon?
mpaka huyu jamaa atoke hapo si tu atkuwa kasizi bali pia atkuwa hohehaheee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…