๐ ๐ ๐ ๐๐aiseeeeeDah !huku weweweweweweView attachment 982492View attachment 982494
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bhana mtoto wa kike```Mtoto WA kiume kuamka na pesa za mwaka Jana ni woga WA maisha.
kula zote leo, mwakani uanze upyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]Kumbuka kuna maisha baada ya hizi sikukuu
so usikombe pesa yotee January tukaanza
kuangaliana kwa macho ya kutia huruma..
Wahuni wanakwambia wiki Hii ukijifanya
mwanaume wa shoka, January lazima ugeuke
rejeta
1. Breakfast - Maji
2. Lunch time - Maji
3. Dinner - Maji