Baada ya Hii Picha Tunasubiri, Mseme Jambo!

Baada ya Hii Picha Tunasubiri, Mseme Jambo!

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,202
Reaction score
25,378
1000134828.jpg
 
kwa akili zao finyu wameenda kwa pope ili awaombee msamaha kwa Mungu kwa zile damu walizomwaga October.

Africa Africa Africa
 
Unaacha kupatana na maaskofu TZ uliowaumiza na kuwakejeli unaenda kwa Papa? Ukichaa huu. Papa mwenyewe anategemea report kutoka kwa akina pisa na rugambwa siyo kabudi na kombo
IMG_20260129_140026.jpg

Ujumbe wenyewe ndiyo huo Papa anakabidhiwa au ?
 
Unaacha kupatana na maaskofu TZ uliowaumiza na kuwakejeli unaenda kwa Papa? Ukichaa huu. Papa mwenyewe anategemea report kutoka kwa akina pisa na rugambwa siyo kabudi na kombo
Labda wanaamini wao wameitangulia ripoti ya TEC. Na kwamba Papa hajui chochote hivyo ni rahisi kumrubuni
 
Back
Top Bottom