GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,877
Nipende tu kuchukua fursa hii adhimu kabisa kwa kulishukuru kwa dhati kabisa Gazeti la Tanzania Daima hasa la leo kwa Kujitoa Mhanga kueleza ' bayana ' kabisa nini maana ya Msemo ' unaohubiriwa ' kila mara na Wanaume wa Mikoa mingine ( siyo wa Dar es Salaam ) na Wanawake wengi wa nchini wa ' Mwanaume wa Dar '.
Kwa mujibu wa Gazeti la Tanzania Daima la leo hasa katika tafsiri yao ya ' Kifasihi ' kabisa kumbe maana halisi / kuntu kabisa ya Msemo huo wa ' Mwanaume wa Dar ' ni kwamba ni ' Mwanaume Shoga / Bwabwa / Mtambaliziwaji Unyabeni '.
Naomba nianze tu kuwaambia mapema kabisa Jeshi la Polisi Tanzania kwamba kuanzia sasa wajiandae Kuongeze ukubwa wa ' Selo ' zao kwani baada ya leo kuna uwezekano wa Kutukuka kabisa kwamba Watu wengi wakaelekea huko hasa kwa Kutoa Kichapo cha Shalubela / Kikatili baada ya kuambiwa hilo neno la ' Mwanaume wa Dar '.
Kama pia haitoshi nipende tu pia kuwaambia Wafanyakazi wa Magereza nchini Tanzania hasa haya ya Dar es Salaam kwamba wajiandae nao kupokea ' Wateja Wafungwa ' wengi watakaotokana na ' Kukereka ' kwa kuambiwa hili neno. Na naamini pia kwamba hata ' Mortuary ' zetu nyingi hapa Dar es Salaam nazo zitafurika ' Wateja Maiti ' watakaotokana na ' Vipigo ' ambavyo watapewa na Watu kama wakiwaita tena ' Wanaume wa Dar '.
Haiwezekani kabisa ' Mwanamume ' kama Mimi GENTAMYCINE tena ninayetokea kabisa Mkoa unaotisha na unaojulikana kwa kutoa ' Wanamume wa Shoka na Mashujaa ' wa Mara ( Musoma ) halafu leo hii Mtu mmoja Mpumbavu / Popoma tu anatoka huko atokako anaanza Kuniita ' Mwanaume wa Dar '. Kwanza unaanzaje anzaje Kuniita Mimi ' Mwanaume wa Dar? ' Hakyanani kuna Watu sasa wanaenda ' Kuumia ' na huu Msemo hadi watajua ni kwanini Idi Amini japo alikuwa ni Mwanaume lakini pia aliitwa Dada.
Nawasilisha.