Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

Sisi Tanzania tumeishazoea kutishwa nyau, sasa hatuogopi tena, kwani Marekani ndio nani? si ni nchi tuu kama Tanzania?, kwa nini watuingilie, watupangie?. Hili barua inampango wa kumuondoa rais Magufuli madarakani kwa mlango wa nyuma. kama walivyofanya kwa Ghadafi na Saadam, kwa kutumia vibaraka kwa mgongo wa human rights defenders.
Tanzania ni nchi huru, a sovereign state. tusikubali, wasitupangie, na wasituingilie, tunachofanya
ndio African democracy, kama vipi, tuwatimue tuu waende tuu na ubalozi wao wafunge, rafiki yetu wa kweli na wa dhati, China si yupo?.
Kwani walipotususa kuhusu ile demokrasia yetu ya uchaguzi huru na wa haki wa Zanzibar na pesa za MCC wakatugomea, tulikosa nini?, si tunadunda tuu, tena ndio kwanza tunajenga my flyover, tunajenga SGR, Stiggler Gorje na kununua midege ya kufa mtu, tena tunafanya yote haya kwa kutumia fedha zetu wenyewe za ndani, hivyo wasitutishe na vimisaada vyao njaa, Tanzania ni nchi tajiri japo wananchi wake ni masikini, ila ni masikini jeuri, waacheni tuu hao wamarekani waseme mchana, usiku watalala, huku Tanzania tukiendelea kudunda kuelekea kuwa nchi ya uchumi wa kati tukielekea kuwa a donor country, ile nchi ya ahadi, mabomba nchi nzima, yatatoa maziwa na asali.
P.
Pale Usukuma unapotangulia mbele ya akili.
 
Tatizo kubwa siyo ushoga bali uonevu na uharamia dhidi ya raia wasio na hatia.

Kukamata watu ovyo, kuteka watu, kuua watu, kunyima vyombo vya habari uhuru, kushindwa kulinda haki ya maoni ya watu, kushindwa kulinda katiba yetu, kudidimiza demokrasia, kugandamiza haki za kisiasa kwa vyama vya siasa, n.k.

Kwenye haya, raia yeyote mzalendo, anayeipenda nchi yake, mwenye akili timamu, hawezi kumwunga mkono. Haya tumekuwa tukitalalamikia kwa muda mreru sasa.

Sasa yamepatikana mataifa mengine pia, ambayo kiuhalisia, yanawasaidia Watanzania dhidi ya udhalimu unaofanywa na serikali ya nchi yao dhidi yao. Katika haya, tunawashukuru sana wabunge wa EU na maseneta wa US.

Tuzidi kupaza sauti dhidi ya udhalimu wowote ule bula ya kujali udhalimu huo unatendwa na nani. Tunatakiwa kulipenda Taifa letu, tunatakiwa kuipenda serikali na vyombo vyake kama vinalitumikia Taifa. Tunatakiwa kuipinga serikali na vyombo vyake kama vinatenda kinyume na katiba.

Wamekosea kutaja ushoga ndani ya hii report
 
Hao wazungu ni mambwa, hii nchi yetu wakafie mbele huko nani anaewahitaji pumbavu wakubwa!!! Waache kutuingilia shenzi kabisa, Sisi ni nchi huru inayojitawala, kagame, museveni, kabila na huyo kichaa Trump mbona wanakandamiza Haki za binadamu hawajasemaa!!
 
Nipo Mkuu sema michakato tu.

Mkuu hao watu hatuwezi shindana nao hatuna budi kubadili gia angani kama tunataka tuishi kwa amani lakini kama tunataka kua kama Venezuela au Iran bhasi tuendelee na mwendo huu. Mchina mwenyewe anacheza nao kwa akili hakurupuki hadi akaomba tena nao mazungumzo wakaongea wameyamaliza,kwa Sasa vita vya kibiashara vimesitishwa kwa miezi 3. Kama Uchina tu taifa la pili lenye uchumi mkubwa limeomba kukaa nao mezani Je sisi taifa changa ambao tunaishi kwa misaada kweli tutaweza shindana nao?!

Mi naona poa tu, Mheshimiwa awakazie hata zaidi ya Iran Ahahahahahahhahahahahahahhahhah maisha yenyewe magumu sana hapa Bongo licha ya kuelewana nao kwa muda mrefu
 
Tena ikiwezekana funga hata balozi zao hatuhitaji ushirika wao, kwanza Rais Magufuli hata uchaguzi 2020 hauna hiyo hela ipeleke ikajenge mahospitali, endelea tu hadi 2025 huna mpinzani
 
Hao wazungu ni mambwa, hii nchi yetu wakafie mbele huko nani anaewahitaji pumbavu wakubwa!!! Waache kutuingilia shenzi kabisa, Sisi ni nchi huru inayojitawala, kagame, museveni, kabila na huyo kichaa Trump mbona wanakandamiza Haki za binadamu hawajasemaa!!
Tunajitawala wakati nusu ya bageti yetu wao ndo wanatusaidia, yaani kama wewe na mkeo na wanao ili wapate chakula cha kuwatosha kwa siku unahitaji TZS 10,000.wewe piga ua kwa siku unaweza kupata 4000, then mtu anayekufadhiri hiyo 6000 inayobaki hutaki akuambie kuwa usiwe una mpiga mkeo na kuwanyanyasa wanao-the unaleta kiburi eti wewe ni mtu huru-huo uhuru umeupata wapi?
 
Nilisema katika comment yangu jana kuwa, ni lazima EU na US waungane,na kabla jogoo hajawika, yameshatimia.

Mtashangaa tu wahisani hawachangi bajeti,mikopo haitoki,n.k.

Na muendelee na muswaada wenu wa kutaka kuua vyama vya siasa vya upinzani mtaona kitakachowatokea maana hamtaki kusikia la mtu wakati kujitegemea kiuchumu hamuwezi!

Sehemu kubwa ya makusanyo yetu ni kulipa mishahara na kulipa madeni yanayoongezeka kila kukicha, sasa bila misaada sijui fedha za kugharamia miradi ya maendeleo na huduma za jamii tutazitoa wapi!

Sisi wengine ni watazamaji tu ingawa tunaone ni wapi tunakoelekea kama Taifa iwapo hatutabadili misimamo tuliyonayo leo hii.
Tulijisahau sana kuweka kopo la choooni(jiwe) kwenye meza ya chakula badala ya kuweka glas ya maji(membe) kwenye meza ya chakula!
 
Maigizo ya makonda yamekufa kibudu. Hakuna cha konki wala konko!!! LGBT shall strive!!!
Yule dogo ametukost sana watanzania kwa kukurupuka kwake
tapatalk_1541354818920.jpeg
 
Sisi Tanzania tumeishazoea kutishwa nyau, sasa hatuogopi tena, kwani Marekani ndio nani? si ni nchi tuu kama Tanzania?, kwa nini watuingilie, watupangie?. Hili barua inampango wa kumuondoa rais Magufuli madarakani kwa mlango wa nyuma. kama walivyofanya kwa Ghadafi na Saadam, kwa kutumia vibaraka kwa mgongo wa human rights defenders.
Tanzania ni nchi huru, a sovereign state. tusikubali, wasitupangie, na wasituingilie, tunachofanya
ndio African democracy, kama vipi, tuwatimue tuu waende tuu na ubalozi wao wafunge, rafiki yetu wa kweli na wa dhati, China si yupo?.
Kwani walipotususa kuhusu ile demokrasia yetu ya uchaguzi huru na wa haki wa Zanzibar na pesa za MCC wakatugomea, tulikosa nini?, si tunadunda tuu, tena ndio kwanza tunajenga my flyover, tunajenga SGR, Stiggler Gorje na kununua midege ya kufa mtu, tena tunafanya yote haya kwa kutumia fedha zetu wenyewe za ndani, hivyo wasitutishe na vimisaada vyao njaa, Tanzania ni nchi tajiri japo wananchi wake ni masikini, ila ni masikini jeuri, waacheni tuu hao wamarekani waseme mchana, usiku watalala, huku Tanzania tukiendelea kudunda kuelekea kuwa nchi ya uchumi wa kati tukielekea kuwa a donor country, ile nchi ya ahadi, mabomba nchi nzima, yatatoa maziwa na asali.
P.
Pasco hiyo unayosema ni ndoto za mchana Marekni ni kama Tanzania hahaha!!
Kweli kwa farajaa hiziz tuna safari ndefu sana ya kufikia maendeleo.
serikali inayotegemea zaidi ya asilimia 30 ya bajeti yake kutoka kwa wahisani bado Unailinganisha Marekeni kuwa sawa na Tanzania?
Hao China unaowasifia kuwa wawe mmbadala wa Marekani na mataifa mengine ya ulaya unawaamini kwa kiasi gani? vipi Zambia na Malaysia?
Kusoma hatujui Tuangalie picha jamani
 
Sisi Tanzania tumeishazoea kutishwa nyau, sasa hatuogopi tena, kwani Marekani ndio nani? si ni nchi tuu kama Tanzania?, kwa nini watuingilie, watupangie?. Hili barua inampango wa kumuondoa rais Magufuli madarakani kwa mlango wa nyuma. kama walivyofanya kwa Ghadafi na Saadam, kwa kutumia vibaraka kwa mgongo wa human rights defenders.
Tanzania ni nchi huru, a sovereign state. tusikubali, wasitupangie, na wasituingilie, tunachofanya
ndio African democracy, kama vipi, tuwatimue tuu waende tuu na ubalozi wao wafunge, rafiki yetu wa kweli na wa dhati, China si yupo?.
Kwani walipotususa kuhusu ile demokrasia yetu ya uchaguzi huru na wa haki wa Zanzibar na pesa za MCC wakatugomea, tulikosa nini?, si tunadunda tuu, tena ndio kwanza tunajenga my flyover, tunajenga SGR, Stiggler Gorje na kununua midege ya kufa mtu, tena tunafanya yote haya kwa kutumia fedha zetu wenyewe za ndani, hivyo wasitutishe na vimisaada vyao njaa, Tanzania ni nchi tajiri japo wananchi wake ni masikini, ila ni masikini jeuri, waacheni tuu hao wamarekani waseme mchana, usiku watalala, huku Tanzania tukiendelea kudunda kuelekea kuwa nchi ya uchumi wa kati tukielekea kuwa a donor country, ile nchi ya ahadi, mabomba nchi nzima, yatatoa maziwa na asali.
P.

Aisee kila siku huwa nakutana na maajabu, mkuu umelewa au uko sawa ?? Ivi unajua kweli vinavyoendelea ? kile kidaraja unaita flyover mzee ? Are you guys thinking kweli au kwakuwa mpo town ? hii post yako naiscreenshot alafu tuombe uzima tufike 2020, utakuja kuniambia....WACHINA NDIO MBWA KABISA WAMEWASAIDIA KATI YA MALAWI AU ZIMBABWE WANAWADAI MPAKA JESH LIMECHUKULIWA NA WAO SASA USIDHAN MCHINA ANAKUPENDA WEWE AFANYE VITU BURE...Alafu usisahau ile ya Makinikia tuna kesi ya mabilion na tukishinda hiyo kesi kesho yake najinyonga, alafu mbona hawatuambii kama kuna kesi kama walivyokuwa wanatutangazia ??
 
Paskal nakuheshimu sana...Comment zako wakati fulani ni kama una joke!!!. Uko serious kwamba tuwapuuze hawa Wazungu kwa sababu tuna rafiki China??. Wachina hawa hawa tunaokula nao makongoro kwenye mabaa!!!!

Aisee me nimemshangaa sana huyu jamaa daah watu kama hawa unaweza dhan hawana impact ila kwenye jamii ya mambumbumbu wana impact kubwa sana
 
Kweli
Sisi Tanzania tumeishazoea kutishwa nyau, sasa hatuogopi tena, kwani Marekani ndio nani? si ni nchi tuu kama Tanzania?, kwa nini watuingilie, watupangie?. Hili barua inampango wa kumuondoa rais Magufuli madarakani kwa mlango wa nyuma. kama walivyofanya kwa Ghadafi na Saadam, kwa kutumia vibaraka kwa mgongo wa human rights defenders.
Tanzania ni nchi huru, a sovereign state. tusikubali, wasitupangie, na wasituingilie, tunachofanya
ndio African democracy, kama vipi, tuwatimue tuu waende tuu na ubalozi wao wafunge, rafiki yetu wa kweli na wa dhati, China si yupo?.
Kwani walipotususa kuhusu ile demokrasia yetu ya uchaguzi huru na wa haki wa Zanzibar na pesa za MCC wakatugomea, tulikosa nini?, si tunadunda tuu, tena ndio kwanza tunajenga my flyover, tunajenga SGR, Stiggler Gorje na kununua midege ya kufa mtu, tena tunafanya yote haya kwa kutumia fedha zetu wenyewe za ndani, hivyo wasitutishe na vimisaada vyao njaa, Tanzania ni nchi tajiri japo wananchi wake ni masikini, ila ni masikini jeuri, waacheni tuu hao wamarekani waseme mchana, usiku watalala, huku Tanzania tukiendelea kudunda kuelekea kuwa nchi ya uchumi wa kati tukielekea kuwa a donor country, ile nchi ya ahadi, mabomba nchi nzima, yatatoa maziwa na asali.
P.
Kweli ni ww au wame hack akaunti yako au ndiyo Mambo yakina DC flani kule Arusha kabla haja ukwaa uDC
 
Naona unatumia sarcasm
 
Sijui kama securty bodies wanajua kuchanga karata au huwa wakisima wanakariri yalayale wazungu wamewafundisha
Kwamba wanaposoma methology zao baadae in application wanai implement kwa namna tofauti
Sina Lengo la kusema serkali iliyopo haina shida au inashida la
Nina maana kuwa KAMWE hatutakuwa na uhuru kabisa maana hao MAFARA watatupangi nani awe nani
Kata kama tunamtaka mboo we wao watasema awe Ndi Kumaa na
Etbiopia ni moja ya nchi ambazo hazikuwa colonized. Why?
Securty bodies pangeni nchi na watu wake kuwakabili hawa WASHENZI
SIKO KI VYAMA ila sikubaliani KABISA na Move ya wazungu
Sikuwahi kusikia kutoka Kenya au Gabon watu wameenda uingereza kuwa election observers.
Tunaweza kuchanga karata ili wasiweze kupenya
Kwa silaha hatuwawezi ila wakikija humu kama hawatapata ushirikiano kutoka miongoni mwetu. WATAPAKIMBIA
NI UPUMBAVU wa kiwango cha juu kufikiri wazungu wana nia nzuri labda hizo dawa na vyakula tunavyokula na vitu vingi e wametunia kuharibu akili zetu. TUSIJITAMBUE
 
Sisi Tanzania tumeishazoea kutishwa nyau, sasa hatuogopi tena, kwani Marekani ndio nani? si ni nchi tuu kama Tanzania?, kwa nini watuingilie, watupangie?. Hili barua inampango wa kumuondoa rais Magufuli madarakani kwa mlango wa nyuma. kama walivyofanya kwa Ghadafi na Saadam, kwa kutumia vibaraka kwa mgongo wa human rights defenders.
Tanzania ni nchi huru, a sovereign state. tusikubali, wasitupangie, na wasituingilie, tunachofanya
ndio African democracy, kama vipi, tuwatimue tuu waende tuu na ubalozi wao wafunge, rafiki yetu wa kweli na wa dhati, China si yupo?.
Kwani walipotususa kuhusu ile demokrasia yetu ya uchaguzi huru na wa haki wa Zanzibar na pesa za MCC wakatugomea, tulikosa nini?, si tunadunda tuu, tena ndio kwanza tunajenga my flyover, tunajenga SGR, Stiggler Gorje na kununua midege ya kufa mtu, tena tunafanya yote haya kwa kutumia fedha zetu wenyewe za ndani, hivyo wasitutishe na vimisaada vyao njaa, Tanzania ni nchi tajiri japo wananchi wake ni masikini, ila ni masikini jeuri, waacheni tuu hao wamarekani waseme mchana, usiku watalala, huku Tanzania tukiendelea kudunda kuelekea kuwa nchi ya uchumi wa kati tukielekea kuwa a donor country, ile nchi ya ahadi, mabomba nchi nzima, yatatoa maziwa na asali.
P.
We mbaba sikuhizi hatauleweki.. Umekuwa Kama muandika taarabu na mnafiki kwenye siasa, sera zimebebwa na upepo.. Huna lolote
 
Back
Top Bottom