Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

Kaka/dada sikujui na haunijui. Tuanzie kwenye madini , tatizo si la mabeberu kama mnavyoyaita. Tatizo ni la viongozi wa CCM kuanzia na awamu ya tatu akiwe Mr President. Walipoonywa kuwa wanaipereka nchi utumwani kwenye swala la madini , walijibu kwa kejeli "wavivu wa kufikiri" Na wanaharakati walioonya watiwa ndani. Wengine kwa idhini ya ofisi kuu walibeba mafaili kwenda ugaibuni kusaini mikataba . HAPO KOSA NI LA BEBERU KWELI ?!

Tukija swala la mashoga na wasagaji . Sheria zipo na jambo hili ni haramu kama ujangili, ufisadi ,utapeli nk na lilikuwa swala la mtu binafsi . Mpaka Makonda alivyokosea step na kulifanya la umma. Bila hivyo ilikuwa ni jinai kama jinai kwa mhusika. Na hata la wanafunzi waliopigwa mimba. Pia sheria zipo na wahusika waliwajibishwa, mpaka mkuu alipolisemea tofauti likaibua sintofahamu.

Mbaya na ambalo wewe unalibariki ni kuminywa kwa democracy, uhuru wa habari , utungaji wa sheria wa kudhibiti wapinzani wake na wanaharakati wa mambo ya katiba na takwimu . Hili halikubaliki la kutumia vyombo vya dola na vya maamuzi kwa maslahi yake. Hivi vitumike kwa maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla si maslahi ya chama cha Rais . Kikubwa tuache fikra za kidikteta kwa sababu naye aliingia kwa ajili ya democracy . Asizuie wenye mawazo kama yake ya kutaka kuongoza nchi.

Nimezipenda hoja zako...Ni hoja zinazofikirisha kabisa...nakubaliana na wewe kuhusu hilo la madini...kwa hakika uongozi wa comrade Mkapa ulifanya mengi mazuri lakini yalikuwepo mabaya pia likiwemo hili la mikataba ya madini...ilikuwa ni mikataba ya ovyo kabisa...hata ule mkataba wa Netgroup solutions kuhusu TANESCO ulikuwa ni mkataba wa ovyo kabisa...Ni kweli suala la mashoga na mimba kwa wanafunzi nalo limekuzwa kutokana na vitendo vya baadhi ya viongozi akiwemo RC wa Dar es Salaam ( kwa suala la ushoga) kujaribu kulikuza pasipo sababu...Natofautiana kimtazamo na wewe kuhusu kile kinachoitwa kuminywa kwa demokrasia...Hakuna mahali popote pale duniani ambapo maendeleo yalikuja kwa demokrasia...actually to some scholars democracy is the worst form of government...democracy inaweza ikawa nzuri tu ikiwa kutakuwepo na sheria za kuhakikisha kuwa hakuna vurugu au anarchy in society...Ulaya kwenyewe hakuna demokrasia kwa maana ya demokrasia yenyewe inavyopaswa kuwa..Kama mataifa ya ulaya yangekuwa yanajli demokrasia yasingechukua hatua za kukandamiza nchi maskini...all in all demokrasia ni suala la mjadala na hasa kuhusu maana yake na utekelezaji wake...
 
Maseneta wa Marekani wamemuandikia barua Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Mike Pompeo wakiishutumu Serikali ya Tanzania. Wasema tangu 2015 inaongozwa kwa sera za ajabu

- Wadai Serikali inaminya haki za watu na demokrasia. Waongeza kuwa tangu mwaka 2016 nchi hiyo haina Balozi rasmi nchini Tanzania hivyo ni lazima Balozi ateuliwe.

- Wasema kuwa Ubalozi wao uanze kufanya juhudi za kuhakisha kunakuwa na uchaguzi huru na wa haki mwaka 2020.

- Wataka Marekani ihakikishe hakuna fedha zinatolewa na taasisi yoyote ya kimataifa kufadhili sera zinazoonekana kuwa kinyume na haki za binadamu

=======

December 12, 2018

The Honorable Mike Pompeo Secretary of State

U.S. Department of State 2201 C Street, N.W. Washington, D.C. 20520

Dear Secretary Pompeo:

We write with strong concern about closing political space in Tanzania, and urge the Administration to increase engagement to help forestall the further erosion of civil liberties and democratic freedoms in that country.

From its inception in 2015, President John Magufuli’s administration has been characterized by hostile policies, and acts of violence and intimidation aimed at civil society, the media and political opposition. Female students are given mandatory pregnancy tests; those who are pregnant are expelled and prevented from completing their education. President Magafuli has suspended U.S. funded HIV/AIDS programs which provided outreach and health care to men who have sex with men, a key population to be targeted in the fight against HIV/AIDS.

Additionally, President Magufuli is quoted as saying that “even cows” should condemn homosexuality, and threatened to deport or arrest activists in the country, stoking fears among the lesbian, gay, bisexual, transgender and intersex population. Newspapers have faced sanctions, such as fines or suspension, for coverage deemed critical of the government. And laws undercutting media independence and restricting online content have been signed into law, all under Magufuli’s tenure. Opposition members of parliament have been shot after criticizing the President, arrested and harassed by police, and some are being tried for sedition.

Partners in the diplomatic community have taken action to address democratic backsliding and discrimination. The European Union has recalled its Ambassador to Tanzania after what it termed his ‘forced departure’ from Tanzania, and its financial support and policies toward Tanzania are under review. Another key donor, Denmark, said it would withhold $10 million worth of aid money, citing concerns over human rights abuses and "unacceptable homophobic comments" made by a government official.

The World Bank had suspended missions to Tanzania, lifting that ban only after accepting the government’s assurance that it would refrain from harassment and discrimination based on sexual orientation, and it threatened to scrap a plan to loan Tanzania $300 million after the country reaffirmed its policy of banning pregnant girls from school and made it a criminal offense to publicly “question official statistics.”

The United States too must act to address these challenges. First, the Administration should appoint an Ambassador to Tanzania to lead our strategies, programs and diplomatic outreach on the ground. The post has been vacant since late 2016. Second, we should begin undertaking actions that support fair and credible elections in 2020. The U.S. embassy and USAID mission in Tanzania should immediately be allocated resources to facilitate and implement a full array of democracy, rights, and governance programs — including on-the-ground independent election planners and long-term observers who can monitor and report on the pre-election environment, electoral processes, and eventual election outcomes.

Finally, we must develop a strategy with likeminded diplomatic partners in Tanzania and multilateral fora to speak out against President Magufuli’s war on democratic freedoms and civil liberties, and urge the Tanzanian government to take concerted action to ensure that all political and civic rights guaranteed under the Tanzanian constitution are fully respected. This should include using our voice and vote in International Financial Institutions to ensure no funding is provided that supports intolerant, unfair or inequitable public policies.

Mr. Secretary, Tanzania’s current political trajectory is deeply troubling. The progress that Tanzania has made in the last decade and a half in the areas of democracy and respect for civil liberties is undergoing a reversal before our very eyes. We can and should take immediate steps to help halt this backsliding. We stand ready to support the Administration’s efforts to stem the growing tide of repression and ensure adherence to internationally recognized civil liberties and human rights norms and standards in Tanzania.

Sincerely,
Maseneta wa Marekani wamemuandikia barua Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Mike Pompeo wakiishutumu Serikali ya Tanzania. Wasema tangu 2015 inaongozwa kwa sera za ajabu

Kwa hiyo maseneta ndio serikali ya Marekani?
 
Wewe akili zako ni za kufundishwa? Masalakulangwa kabisa... Umeongea upumbavu Wa hali ya juu kabisa kushuhudiwa katika kizazi hiki.. Utakuwa umeng'oka boriti kwenye medula oblongata yako I see... Ni uharo mtupu umeongea... Watoto wako wana Hasara na kama wanechukua akili yako ni Hasara na maumivu. Eti Tupi huru? Unauhuru gani wewe ? Waliyoongea wanasingizia au wametunga? Koo lenu la Mwanza huko ndio katiri
Unapoanza kumuona mwenzako ni mjinga kuna aslimia kubwa kwamba na wewe ni mjinga zaidi zake.....Huja comment kama mtu aliye elimika
 
nakuona naku
Sisi Tanzania tumeishazoea kutishwa nyau, sasa hatuogopi tena, kwani Marekani ndio nani? si ni nchi tuu kama Tanzania?, kwa nini watuingilie, watupangie?. Hili barua inampango wa kumuondoa rais Magufuli madarakani kwa mlango wa nyuma. kama walivyofanya kwa Ghadafi na Saadam, kwa kutumia vibaraka kwa mgongo wa human rights defenders.
Tanzania ni nchi huru, a sovereign state. tusikubali, wasitupangie, na wasituingilie, tunachofanya
ndio African democracy, kama vipi, tuwatimue tuu waende tuu na ubalozi wao wafunge, rafiki yetu wa kweli na wa dhati, China si yupo?.
Kwani walipotususa kuhusu ile demokrasia yetu ya uchaguzi huru na wa haki wa Zanzibar na pesa za MCC wakatugomea, tulikosa nini?, si tunadunda tuu, tena ndio kwanza tunajenga my flyover, tunajenga SGR, Stiggler Gorje na kununua midege ya kufa mtu, tena tunafanya yote haya kwa kutumia fedha zetu wenyewe za ndani, hivyo wasitutishe na vimisaada vyao njaa, Tanzania ni nchi tajiri japo wananchi wake ni masikini, ila ni masikini jeuri, waacheni tuu hao wamarekani waseme mchana, usiku watalala, huku Tanzania tukiendelea kudunda kuelekea kuwa nchi ya uchumi wa kati tukielekea kuwa a donor country, ile nchi ya ahadi, mabomba nchi nzima, yatatoa maziwa na asali.
P.
nakuina nakuona upo katika ubora wako mkuu P.
 
Sarcasm was created to confuse the stupid 🚶🏿‍♂️
 
Kweli akili saa zingine ikikataa,unajribu ujinga!!!!!!!!!
 
Kuna watu wamekupa ma Like kedekede lakini nahapa kwa jina LA mwenyezi Mungu hawajakuelewa yaaani hawajaona hata Jina LA Gaddafi na Sadam Hussein wa Kuwait hapo???
 
Haya mambo yote tumejitakia na hao Mabeberu wamepiga humo humo. Hii nchi haijawahi kushambuliwa hivi na hao
Magharibi, kujifanya kwetu kujua ndio kumewafanya waanze kutushambulia na hakika wanazo sababu tulizowapa wenyewe. Marais wote waliopita walitelekeza agenda zao bila huu upuuzi wa sasa hivi na hakuna akiyewanyooshea kidole cha kati kama hivi sasa.
 
Hii barua ina maneno makali sana
Nimeona signature ya Senator Cory Booker.
Ila walianza kusema wapinzani,wakaja maaskofu tukawakebehi,Sasa wababe wa dunia wamejitokeza.Na hapa tunatafutiwa sababu 2020
 
Back
Top Bottom