Baada ya Dr Slaa na Katambi nani anafuata?

Baada ya Dr Slaa na Katambi nani anafuata?

njeeseka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,374
Reaction score
985
Naongelea watu wenye mavyeo makubwa sio dagaa.
Dr Slaa alikuwa Katibu bora kuwahi kutokea pande hizo, na Katambi Mwenyekiti wa BAVICHA kijana msomi mwenye akili inayochemka. Hawa wote walikuwa waendesha chama kwa kupanga mikakati mbalimbali, sio wa kuwabeza hata kidogo.
Ninaongeza mashaka huenda mambo yasiposawazishwa kuna mwendelezo wa wanaoondoka hasa wenye mavyeo yao.
Nahisi hata Mwenyekiti Taifa ataachia ngazi ni suala la muda tu.
Wewe unahisi anayefuata nani mwenye li cheo likubwa ndani ya chama?
 
Sitaki kuwachosha.... Mi nile kuku kwa mrijaaa basii
Screenshot_20171122-081236.jpg

Kwa maneno haya huyu yuko njiani
 
Huyu jamaa yuko imara sana na ngangali.... Hakuna mwenyekiti jasiri kama huyu kuwahi tokea tz.... Amejitahidi sana kuimarisha chama na chama kinakua... Chadema wakijiroga wamtoe huyu waweke ujinga mwingine.... Nnao waamini
1.lisu
2.lema
Labda ndio wapewe baada ya mbowe..
Kwa nini asiwe jasiri kama ruzuku yote anakula peke yake.!
 
Kwahyo ulitaka ale nan na kwa kazi gani.... Ata mimi ningekula na kuuwa chama kabisa.... Anakula rudhuku na chama kinasonga mbele... Tofauti na wenyeviti wa vyama vingine... Wanakula rudhuku na vyama vinakufa.. Mf. Lipumba, mlema
Kwa hiyo akinyang'anywa nafasi ya kumuwezesha kula ruzuku unadhani nini kitatokea?
 
Nan wa kumpokonya... Mashinji ama? Angalia mtu aliye ngangali... Yeye akiporwa basi ataendelea na ubunge wake... Ila kuna vijana nna imani nao sana ila inaonesha wana njaa mnoo
1.yeriko nyerere
2.malisa
N. K wakumbukwe hawa
 
Kwa hiyo akinyang'anywa nafasi ya kumuwezesha kula ruzuku unadhani nini kitatokea?

Kwa hiyo akinyang'anywa nafasi ya kumuwezesha kula ruzuku unadhani nini kitatokea?
Bado miradi anayo mkuu atafanya shughuli nyingine
 
Back
Top Bottom