Baada ya dhiki faraja!

Baada ya dhiki faraja!

shibela

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
3,162
Reaction score
10,383
Baada ya kuishi na lile kulumbembe kama ndugu na bado likaniletea dharau nilipata kabinti ka Kihangaza. Leo kanatimiza mwaka toka nianze kuishi nako!

Kabinti kanajitambua, kanachapa kazi, kasikivu, ukikaelekeza kanaelewa!
Kabunifu kenyewe unakuta kamepika chakula kitamu ukikauliza umejifunza wapi utasikia “niliangalia kwenye kipindi cha mapishi!!!”

Mungu nilindie haka kabinti special!!!!
 
Back
Top Bottom