Baada ya cdm, ccm nao kumwona rais mara moja!

CCM kutaka kumwona Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa Chama haileti mantiki bali inatoa picha kwamba wameishiwa ubunifu, wako bize kuwajibu CHADEMA tu, wamesahau kuwa kuna majukumu mengine ya kutekeleza...!
 
Huu ni upungufu au ukosefu dhahiri wa akili, wanataka kutuambia yale waliyokuwa wanachangia bungeni wabunge wao sio maagizo ya chama chao? anyway kwanza walikuwa busy kuwapiga vijembe cdm hata hawakuchangia muswada, sasa wanaona aibu kupita mitaani ndio wanajidai nao kuunda kamati kumuona rais. sasa wote wanatumia masaburi, nani ataongea na nani kuwa msikilizaji? mwee this party is funny....!
....when your leaders are dead upstairs, you will find yourselves on graveyards....
 
Iam sure hawajui chochote katika content ya muswada huo walioupitisha kwa kishindo!
Masuala ya Zanzibar na complexity yake si ya kugonga dawati tu kukubali, ni kufunika kombe mwanaharamu apite, lakini akishapita tunaanza kuparurana nyuso!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…