Baada ya CCM kukatana na wengine kuhama vyama sasa zamu ya CUF na CHADEMA kukatana na wengine wahame

mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,913
916
Chama cha mapinduzi kimemaliza mchakato wake wa kuteua wagombea wa nafasi zote za uwakili na ubunge walikatana sana japo wengine waligoma kukatwa wakahama vyaka na wengine wakashindwa kura za maoni na kuhama chama.

Hali kama hiyo imehamia kwa vyama vya chadema na cuf nao sasa wanakatana kama ilivyokuwa kwa ccm wapo wanaokatwa lakini wanagoma kukatwa na badala yake wanahama vyama na timbwili kwa sana tu.

ccm wao yao yashakwisha na kuwekana sawa sasa zamu yenu chadema na cuf kukatana sisi tunawaangalia mtafikishana wapi manake kiongozi wenu mkuu na mgombea urais ni mwathirika wa kukatwa na kuhama chama vipi wabunge wake watakubali kukatwa na kutulia?
 
Kwani wewe umekwatwa bao ngapi kabla ya cuf na chadema?.

Swissme
 
Hivi washabiki wa ccm kwenye mitandao mbona wana uwezo wa chini sana..!? Sijui shida nini..?!
 
Kama uwezo wa CCM kuchambua na kuzungumzia jambo ndio huu...basi UKAWA itachukua nchi mapema sana. CCM KWISHNEY...TUMEWACHOKA NA WIZI WENU. kura zetu watanzania ni kwa EDWARD LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.
 
Kuna makamanda hawajatendewa haki kabisa, wanakubalika majimboni kwao ila wamekatwa eti walio karibu na m'kiti waingie bungeni. Kura za maoni hazijapewa kipaumbele.
 
Wapeleke nyumbani kwako kama una uchungu
 
watu walikuwa wanashabikia kuwa ccm inawaonea watu wanaoshinda kura za maoni na kuwaweka watu wao, angalia list ya wabunge waliopitishwa na chadema halafu niambie wao hawajaonea? mfano ester bulaya alikuwa nafasi ya nne kura za maoni, ila ndio kapewa nafasi ya kugombea, unamfanya nini yule aliyeshinda? hiyo ni kubaka demokrasia kwa mabavu ya hali ya juu
 
Back
Top Bottom