State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 617
- 1,441
Ni too late sana kwa sasa mkuu. Wameshazingirwa na adui and Events are unfolding very quickly now.Naona mmeshasahau operation True Promise 3 kuwa ipo njiani. Zile 1 and 2 moto wake mnaujua lakini
Wananchi wanaonyesha wana hamu ya kuona utawala wa Shahs ukirudi maana wengi wao wanashangilia kuangushwa kwa utawala wa Assad SyriaHizi tetesi kama zina kaukweli fulani. Compare and contrast utawala wa Shah na ule wa Ayatollahs; wananchi wanasemaje huko Iran? Utawala wowote unaofunga mizigo mizito na kuwabebesha wananchi huo utawala hauwezi kudumu! Wapeni raha wananchi sio utawala unageuka mateso kwa raia!
Iran ana silaha nzito sana ukizingatia kwa sasa anazo SU 35 kutoka Russia . Israel hawezi kujipeleka kizembe. Lazima awe makini unapojaribu kupigana na mtu mwenye uwezo. Nadhani operation promise 1 na 2 uliona kilichotokea Israeli .Ni too late sana kwa sasa mkuu. Wameshazingirwa na adui and Events are unfolding very quickly now.
Achilia mbali kurudi kwa Trump White House.
Hivyo, karata waliyobakiza Tehran ni kusain mkataba wa ulinzi na urusi, at least ita buy more time.
Iran imeshindws kuisaidia kipenxi chake Assad?! 😇😜Iran ana silaha nzito sana ukizingatia kwa sasa anazo SU 35 kutoka Russia . Israel hawezi kujipeleka kizembe. Lazima awe makini unapojaribu kupigana na mtu mwenye uwezo. Nadhani operation promise 1 na 2 uliona kilichotokea Israeli .
Vita ikianza hizo siraha hutaona zikifanya kaziIran ana silaha nzito sana ukizingatia kwa sasa anazo SU 35 kutoka Russia . Israel hawezi kujipeleka kizembe. Lazima awe makini unapojaribu kupigana na mtu mwenye uwezo. Nadhani operation promise 1 na 2 uliona kilichotokea Israeli .
Iran ilipigwa air defense systems zake kwa F-35 bila kuangusha ndege hata moja.Iran ana silaha nzito sana ukizingatia kwa sasa anazo SU 35 kutoka Russia . Israel hawezi kujipeleka kizembe. Lazima awe makini unapojaribu kupigana na mtu mwenye uwezo. Nadhani operation promise 1 na 2 uliona kilichotokea Israeli .
Hilo jambo la kawaida mbona Ufaransa ameshindwa kuwalinda vibaraka wake Africa Magharibi mwishowe watu wote wamepinduliwa na nchi zote kuwa chini ya ushawishi wa Urusi?Iran imeshindws kuisaidia kipenxi chake Assad?! 😇😜
Mifumo yote ya ulinzi wa anga ya Iran iliiangamizwa hivyo Iran yuko uchi wa mnyama hawezi kumshambulia mtu.Naona mmeshasahau operation True Promise 3 kuwa ipo njiani. Zile 1 and 2 moto wake mnaujua lakini
Naona mmeshasahau operation True Promise 3 kuwa ipo njiani. Zile 1 and 2 moto wake mnaujua lakini
Kwani kigezo Cha Irani ni Marekani na Ufaransa??🎤Hilo jambo la kawaida mbona Ufaransa ameshindwa kuwalinda vibaraka wake Africa Magharibi mwishowe watu wote wamepinduliwa na nchi zote kuwa chini ya ushawishi wa Urusi?
Au mbona Marekani na vibaraka wake wameshindwa kuisaidia Ukraine kurudisha ardhi yake iliyo tekwa na Urusi licha ya kuirundikia siraha mpaka maghara yao kubaki meupe.
Shah alizingua mwenyewe alipogusa maslahi ya Uingereza kwenye yale Makampuni ya mafuta ambapo UK ali invest pesa ndefu kwenye utafit, halafu yeue akawapa wengine.Hizi tetesi kama zina kaukweli fulani. Compare and contrast utawala wa Shah na ule wa Ayatollahs; wananchi wanasemaje huko Iran? Utawala wowote unaofunga mizigo mizito na kuwabebesha wananchi huo utawala hauwezi kudumu! Wapeni raha wananchi sio utawala unageuka mateso kwa raia!