Kwa wale waalimu waliofanikiwa katika kufanya applications zao vizuri nawapongeza sana,! But nawakumbusha tu kuwa kutuma maombi ni ishu nyingine na kuchaguliwa kupewa hiyo kazi pia ni case nyingine.! Hivyo nawasihi dua na sala ziendelee maana ajira 4549 ni kiduchu sana ukilinganisha na malaki ya waalimu waliopo mtaani.!
Sent using
Jamii Forums mobile app