baaa ya rais aliedumu muda mrefu baaae ....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

baaa ya rais aliedumu muda mrefu baaae ....?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Apr 19, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  baaa ya rais aliedumu muda mrefu kuandamwa kila pembe ya dunia baaae chama tawala kilichodumu miaka mingi?jee watz badoo tutakuwa nyuma na mabadilko hayo? kulinda mani, utulivu na umoja?njaa, maradhi, elimu mbovu ikizidi kuwa nyuma?
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  kama kuna mtu ameelewa naomba anieleweshe.
   
 3. N

  Nonda JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  MzeeWaHoja anatuuliza watanzania kama bado tunataka kuendelea na uongozi wa chama cha magamba ambacho kimekuwa madarakani kwa muda mrefu kwa kisingizio cha "amani na utulivu" huku maradhi, njaa ,ujinga vinatuumbua na elimu na kiwango cha elimu kikizidi kudidimia?
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280

  Mimi ndio nimechoka kabisa, JF vituko huwa haviishi, kwani huwa wana haraka ya kwenda wapi! mtu makini unapotoa thread ni lazima kwanza uisome wewe mwenyewe kama kuna marekebisho unaenda kwenye editing then unaipost, kuliko mambo hovyo hovyo namna hii. KWA kifupi sijaelewa lolote kwenye thread hii.
   
Loading...