Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,681 Reaction score 272,534 Aug 23, 2023 #21 Hii ni katika Shamra shamra za nguvu zilizoandaliwa wiki hii , hasa baada ya Baa hiyo kufungiwa kwa matatizo ya leseni na baadaye kufunguliwa na Mkurugenzi Wote mnakaribishwa .
Hii ni katika Shamra shamra za nguvu zilizoandaliwa wiki hii , hasa baada ya Baa hiyo kufungiwa kwa matatizo ya leseni na baadaye kufunguliwa na Mkurugenzi Wote mnakaribishwa .
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 17,581 Reaction score 28,559 Aug 23, 2023 #22 Lile bango la BANDARI(kivutio) litakuwepo? https://www.jamiiforums.com/data/video/5446/5446459-3a520b5e5df29d0398ef2d386a5a95d9.mp4
Lile bango la BANDARI(kivutio) litakuwepo? https://www.jamiiforums.com/data/video/5446/5446459-3a520b5e5df29d0398ef2d386a5a95d9.mp4
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,879 Reaction score 14,704 Aug 23, 2023 #23 Pr za kibongo bana, upuuzi mtupu tu!!!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,681 Reaction score 272,534 Aug 23, 2023 #24 Jidu La Mabambasi said: Lile bango la BANDARI(kivutio) litakuwepo? Click to expand... Ngoja tuwasiliene na Meneja
Jidu La Mabambasi said: Lile bango la BANDARI(kivutio) litakuwepo? Click to expand... Ngoja tuwasiliene na Meneja
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,681 Reaction score 272,534 Aug 23, 2023 #25 Mr mutuu said: Pr za kibongo bana, upuuzi mtupu tu!!! Click to expand... Ndio hivyo tena
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 19,417 Reaction score 40,270 Aug 23, 2023 #26 Jidu La Mabambasi said: Lile bango la BANDARI(kivutio) litakuwepo? Click to expand... Litakuwepo ila kutakuwa na mhariri wa hilo bango toka ofisi ya CCM.
Jidu La Mabambasi said: Lile bango la BANDARI(kivutio) litakuwepo? Click to expand... Litakuwepo ila kutakuwa na mhariri wa hilo bango toka ofisi ya CCM.
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,879 Reaction score 14,704 Aug 23, 2023 #27 Erythrocyte said: Ndio hivyo tena Click to expand... Huyu wanaharakati kibao wamepiga kelele mitandaoni mpaka kafunguliwa bara yake, alafu anakuja na "usiku wa leseni" Shenzi
Erythrocyte said: Ndio hivyo tena Click to expand... Huyu wanaharakati kibao wamepiga kelele mitandaoni mpaka kafunguliwa bara yake, alafu anakuja na "usiku wa leseni" Shenzi
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,681 Reaction score 272,534 Aug 23, 2023 #28 Mr mutuu said: Huyu wanaharakati kibao wamepiga kelele mitandaoni mpaka kafunguliwa bara yake, alafu anakuja na "usiku wa leseni" Shenzi Click to expand... Mbona fresh tu mkuu !
Mr mutuu said: Huyu wanaharakati kibao wamepiga kelele mitandaoni mpaka kafunguliwa bara yake, alafu anakuja na "usiku wa leseni" Shenzi Click to expand... Mbona fresh tu mkuu !
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,071 Reaction score 132,533 Aug 23, 2023 #29 Bongo bana Ova
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,071 Reaction score 132,533 Aug 23, 2023 #30 Erythrocyte said: Mbona fresh tu mkuu ! Click to expand... Ufunguzi makala hakosi Ova
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,298 Reaction score 46,756 Aug 23, 2023 #31 Nitakuwepo hapo this Friday.. Kuna dada na bleach nitapenda anihudumie kama kawaida..
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Aug 23, 2023 #32 Wapo vizuri sana nilikesha hapo sikutamna kutoka kwa mwaza hapo palinivutia sana
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,298 Reaction score 46,756 Aug 23, 2023 #33 Mwachiluwi said: Wapo vizuri sana nilikesha hapo sikutamna kutoka kwa mwaza hapo palinivutia sana Click to expand... Mwamba siku zile nimekucheki tule bia sikukuona kabisa..
Mwachiluwi said: Wapo vizuri sana nilikesha hapo sikutamna kutoka kwa mwaza hapo palinivutia sana Click to expand... Mwamba siku zile nimekucheki tule bia sikukuona kabisa..
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Aug 23, 2023 #34 Darmian said: Mwamba siku zile nimekucheki tule bia sikukuona kabisa.. Click to expand... Ulizingua wewe mzee
Darmian said: Mwamba siku zile nimekucheki tule bia sikukuona kabisa.. Click to expand... Ulizingua wewe mzee
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 10,493 Reaction score 17,534 Aug 23, 2023 #35 Grahams said: Sahihi, maana hadi wafike kwetu huku unakuta wamekaa sana hata radha inapotea Click to expand... Ladha sio radha
Grahams said: Sahihi, maana hadi wafike kwetu huku unakuta wamekaa sana hata radha inapotea Click to expand... Ladha sio radha
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Aug 23, 2023 #36 Nimemiss sato choma.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,702 Reaction score 41,865 Aug 23, 2023 #37 Nitakuja na firimbi,Dj weka wimbo wa Roma Bandari. Nasemajee
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,699 Aug 24, 2023 #38 Mzee Kigogo said: Ladha sio radha Click to expand... Shukrani kwa masahisho Mkuu 🙏 Sisi wengine tumeathiriwa na Mother tongue
Mzee Kigogo said: Ladha sio radha Click to expand... Shukrani kwa masahisho Mkuu 🙏 Sisi wengine tumeathiriwa na Mother tongue
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,303 Aug 24, 2023 #39 Mie mnywa juisi naishia supermarkets tu humo mjengoni Kichwa Kichafu said: Numbisa Tusaidie Kutupa Mrejesho Wa Kitaa Hicho. Click to expand...
Mie mnywa juisi naishia supermarkets tu humo mjengoni Kichwa Kichafu said: Numbisa Tusaidie Kutupa Mrejesho Wa Kitaa Hicho. Click to expand...
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Aug 24, 2023 #40 Hakuwezi Kukosa Mrejesho Wako Tu Nasi Tuzamie Huko Zoo City. Numbisa said: Mie mnywa juisi naishia supermarkets tu humo mjengoni Click to expand...
Hakuwezi Kukosa Mrejesho Wako Tu Nasi Tuzamie Huko Zoo City. Numbisa said: Mie mnywa juisi naishia supermarkets tu humo mjengoni Click to expand...