Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

Acha tu
C Park Matema na Ben, ilikuwa unavuka tu barabara.
Tukitoka hapo tunakutana PapiChulo.

Hv unakumbuka Ben Pub na ule mlango wa tinted?
Unajua bado hakujakucha, ukifungua mlango tu, saa 4 asubuhi ... nachoka hoi🥴😙😙
unakutana na watubsaa 5 wanatoka bar wanajua ni saa kumi kumbe kushakucha na makucha yake 😂😂 kile kiwanja jau sana
 
Pole sana mkuu.
Mie kwanza mbu anagusaje na niko high na nimechachuka na pombe.
Dah!
We utakuwa wa kishua...mbu mmoja unaatuka usingizini?
Sasa ukienda selo au mahabusu itakuwaje?🤔
Enzi hizo mzee yuko hai nimekulia hapo mtaa wa Nkrumah karibia na roundabout ya mnara wa saa nimesomea primary hapo kidongo che kundu ile shule zamani ikiitwa kisarawe primary baadae ikawa sekondar dar es salaam sekondari, but since mzee alipofariki mambo yote Yakaparanganika yalikuja kukaa sawa tulipokuja kuwa wakubwa na kuwa na Mishe zetu, but kipindi mile nakua maeneo yangu ya kuzurura kuanzia posta kula samaki jioni naenda kuangalia mazoezi ya yanga usiku tunaenda cinema hapohapo mtaani kwetu nkrumah au beach tunaenda na watoto wa kihindi but mzee alipofariki ndipo nilipojua kwamba kuna shida duniani na ndugu ni mbwa sio ndugu.
 
Enzi hizo mzee yuko hai nimekulia hapo mtaa wa Nkrumah karibia na roundabout ya mnara wa saa nimesomea primary hapo kidongo che kundu ile shule zamani ikiitwa kisarawe primary baadae ikawa sekondar dar es salaam sekondari, but since mzee alipofariki mambo yote Yakima Tanganyika yalikuja kukaa sawa tulipokuja kuwa wakubwa na kuwa na Mishe zetu, but kipindi mile nakua maeneo yangu ya kuzurura kuanzia posta kula samaki jioni naenda kuangalia mazoezi ya yanga usiku tunaenda cinema hapohapo mtaani kwetu nkrumah au beach tunaenda na watoto wa kihindi but mzee alipofariki ndipo nilipojua kwamba kuna shida duniani na ndugu ni mbwa sio ndugu.
Pole sana.
Nikija Dar nitakutafuta nikupe kumbatio.
Ila mie silalagi na neti ujue....🥴
 
Norway alitoka 2019, muyajenge tu wakuu yanazungumzika haya!!
On a serous note nimependa sana ulivyonyooka kwenye maelezo. Ni wanawake wachache sana wana ushujaa kama wako
Waooooo.....!!!!
Thanks
Wanawake wengi humu hawana uthubutu wa kusema mengi jukwaani

Sasa sijui kapita mlango gani, simuoni tena huyu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom