Baa kuna Vituko vyake bhana

Vituko vya baa mtaviona sana kipindi hiki...
 
Na wapo wanaokaa na bia moja au soda kusubiri wanaowajua ili wawapige virungu vya bia, na ukimwambia hauna hela basi unasakamw na maneno kibao
 
Na wapo wanaokaa na bia moja au soda kusubiri wanaowajua ili wawapige virungu vya bia, na ukimwambia hauna hela basi unasakamw na maneno kibao
,, Tangu saa 9 alasiri mpaka saa 3 usiku bia ni hiyo hiyo
 
Oyoo tunasubir saa sita wanapofunga, hapa mmoja ashanipanga ikifika kufunga tunaondoka tunaenda kukesha La Chaz kitakachofuata mi sijui
Songea kumbe LA charz ndo kuna maajabu eeeh hahaaaa nmemiss songea ple mtin hta wa buku unapata nunua supu tuuu
 
Napenda baaa amabayo ma barmaid wanazngusha nyongaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…