LA chaz songea ama sehemu gani mkuuOyoo tunasubir saa sita wanapofunga, hapa mmoja ashanipanga ikifika kufunga tunaondoka tunaenda kukesha La Chaz kitakachofuata mi sijui
Hali imebana saivi mpango mzima kwa mangi, unapiga nne cash,mbili mkopo,life goes on. .....LA chaz songea ama sehemu gani mkuu
sinza mori mkuuLA chaz songea ama sehemu gani mkuu
Wanaoenda bar kwaajili ya kula mbuzi katoriki tu.Moja ya vituko nimeviona sana baa ni;
1.wanaokuja kutafuta meza yao peke yao
2.wanaokuja na mademu kutafuta meza zilizojificha gizani
3.waliokaa meza moja alafu hawaongei (wote wapo busy na smartphone wanachati)
4.wanaokunywa soda na Konyagi
5.Wanaoenda toilet mara kwa mara
6.Baamedi anayejifanya anajua kucheza mziki kuliko wengine
7.Waliokuja baa kwa ajili ya kiangalia mpira (mara nyingi wanakunywa maji)
Na wewe Ongezea.....
Ebhana poa ila kumbuka usinywe pombe na kuendesha chombo cha moto pia usisahau ukimwi bado ni tishio hivyo tumia kinga kumbuka kinga ni bora kuriko tibasinza mori mkuu
mie pastor mkuuEbhana poa ila kumbuka usinywe pombe na kuendesha chombo cha moto pia usisahau ukimwi bado ni tishio hivyo tumia kinga kumbuka kinga ni bora kuriko tiba
Aaaah mkuu umesema una miad na baamed ama sio wewemie pastor mkuu