BA ndio nini?
British Airways
Asante mkuu nilidhani ni Bujumbura Airways!
Nipo hapa JNIA tayari kabisa kuelekea Bujumbura, habari za uhakika pamoja na mabango mbalimbali yanachagiza kurudi kwa BA Tanzania baada ya kususa
Walisusa, au biashara ilikuwa imedorora sababu ya ushindani?
ushindani na bei!