ba geography and environmental issues,

ulimbo lunopo

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
243
Reaction score
39
wadau, ndugu wana jf, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 UDSM,,nategemea kuwa mtaani kuanzia mwezi wa 7..natafuta sehemu ya kuweza KUVOLUNTEER,,wadau tafadhali, kila kazi wanasema tuwe na experience, ,,,,
 
Wakati wenzako wanasomea ualimu ulikua unawaona wamepotea,sasa hyo field yako bongo hii utaifanyia nin zaidi ya kuishia kuwa frustrated?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…