Shehe hukutaka kabisa kunipa idea(s).Wenyeji tupoo we njoo
Mgeni njoo mwenyeji apone
Research itakupa more ideas and more detailsShehe hukutaka kabisa kunipa idea(s).
Nenda kafanye research mkuu choma hata 300k kwa ajili ya researchNataka kufanya trading Zanzibar. B2B Trading. Wajuzi naomba mnisaidie idea za bidhaa ambazo ni nzuri kwa B2B na ni scalable. Kwa kuanzia nataka kutoa bidhaa Tanganyika na kupeleka Zanzibar. Ninaombeni ushauri kwa wajuzi wa Zanzibar.