[B][u]VIBARUA WA MASHAMBANI AU MIFUGO[/u][/B]

EnBinga

Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
8
Reaction score
2
Habari wanajukwaa, husika na kichwa cha Habari hapo juu mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 20's

Najitokeza kwenu kuomba kazi za vibarua mashambani au kusimamia mifugo hasa mifugo aina ya ndege kama vile kuku (kisasa na kienyeji) na bata.

UJUZI NA UZOEFU

KWENYE KILIMO

Ni mzoefu katika masuala ya kilimo kama vile

1)kutambua aina za udongo unaofaa kwa zao fulani,

)2kutambua magonjwa ya mimea kutokana na ukosefu wa micronutrients na macro nutrients,

3)kuandaa vitalu,

4)kuhifadhi rutuba ya udongo

5)kuhifadhi mazao ya aina zote kwa njia ya asili na kisasa.

6)Crop rotation
7)Kutunza mashamba ya mazao ya muda mrefu kama michungwa, mikorosho nk
naweza kukaa kambi

KWENYE UFUGAJI

1)Nina ujuzi wa kujenga mabanda ya kuku ya kisasa kulingana na mazingira husika kama vile hali ya hewa ya eneo husika idadi ya kuku,

2) Kutambua magonjwa ya kuku na kutafuta tiba yake(typhoid, mafua kideri nk)

3)Kuandaa vyakula vya asili vya kuku kama vile protein itokanayo na wadudu kama vile mende

4)Na mengineyo kulingana na changamoto zitakazo jitokeza.

NINA UWEZO MZURI WA KUTUMIA ONLINE RESOURCES HIVYO KUONGEZA TIJA KATIKA MRADI WAKO

NAPATIKANA DAR ILA NAWEZA FANYA KAZI SEHEMU YOYOTE

PIA KAMA UNAYO KAZI YOYOTE HALALI YENYE KUHITAJI MTU WA KUIFANYA NAOMBA TUWASILIANE

Mawasilano ni enbinga@gmail.com kwa namba ya simu njoo PM

NB. HATA KAMA HUNA HELA YA KUNILIPA KWA SASA TUTAINGIA MKATABA AMBAPO UTANIPATIA MALAZI CHAKULA HADI PALE UTAKAPO VUNA AU KUUZA MIFUGO YAKO

Ahsanteni

En, Binga
 
Malipo 50000 (elfu hamsini) per month, upon tayari..?
 
Ungefafanua zaidi ni kazi ipi na inapatikana
Kuna mashamba ya nanasi huko kigoma vijini (kwababu) nadhani patakufaa. Pia kuna mashamba ya maharage na mihogo tuliyaacha kigoma kusini hayatumiwi
 
Yaani huo ufafanuzi wako tu unaonesha Kama una akili za mtu mwenye miaka40 km Kuna kibarua kinamaliza ugali wa boss tu basi kwako bosi Wala hajiulizi mara2 kuhusu kukuajiri wewe big up na nakutakia Kila la kheri ktk hayo uyaendeayo.
 
Habari wanajukwaa, husika na kichwa cha Habari hapo juu mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 20's

Najitokeza kwenu kuomba kazi za vibarua mashambani au kusimamia mifugo hasa mifugo aina ya ndege kama vile kuku (kisasa na kienyeji) na bata.

UJUZI NA UZOEFU

KWENYE KILIMO

Ni mzoefu katika masuala ya kilimo kama vile

1)kutambua aina za udongo unaofaa kwa zao fulani,

)2kutambua magonjwa ya mimea kutokana na ukosefu wa micronutrients na macro nutrients,

3)kuandaa vitalu,

4)kuhifadhi rutuba ya udongo

5)kuhifadhi mazao ya aina zote kwa njia ya asili na kisasa.

6)Crop rotation
7)Kutunza mashamba ya mazao ya muda mrefu kama michungwa, mikorosho nk
naweza kukaa kambi

KWENYE UFUGAJI

1)Nina ujuzi wa kujenga mabanda ya kuku ya kisasa kulingana na mazingira husika kama vile hali ya hewa ya eneo husika idadi ya kuku,

2) Kutambua magonjwa ya kuku na kutafuta tiba yake(typhoid, mafua kideri nk)

3)Kuandaa vyakula vya asili vya kuku kama vile protein itokanayo na wadudu kama vile mende

4)Na mengineyo kulingana na changamoto zitakazo jitokeza.

NINA UWEZO MZURI WA KUTUMIA ONLINE RESOURCES HIVYO KUONGEZA TIJA KATIKA MRADI WAKO

NAPATIKANA DAR ILA NAWEZA FANYA KAZI SEHEMU YOYOTE

PIA KAMA UNAYO KAZI YOYOTE HALALI YENYE KUHITAJI MTU WA KUIFANYA NAOMBA TUWASILIANE

Mawasilano ni enbinga@gmail.com kwa namba ya simu njoo PM

NB. HATA KAMA HUNA HELA YA KUNILIPA KWA SASA TUTAINGIA MKATABA AMBAPO UTANIPATIA MALAZI CHAKULA HADI PALE UTAKAPO VUNA AU KUUZA MIFUGO YAKO

Ahsanteni

En, Binga
Napenda vijana type yako.sikukosoi ila umejifunza mengi ktk hii dunia.kk nikipata dili nakustua nitumie no. Yako pm
 
Mungu akutangulie ndugu Yangu , ila nakushauri weka namba ya simu sio kila MTU anaweza kukufuata PM
 
Ndugu yangu Mungu akutangulie siku moja umiliki farm yako.

Kwa uandishi huo na nature ya kazi wengi wetu sio rahisi kuchanganua hivyo.
Au tunaweza kubadili kazi mkuu ukafanya nyingine?
 
Ndiyo tunaweza kubadili.
 
Back
Top Bottom