B.O.T yaja na Hatifungani ya miaka 10

B.O.T yaja na Hatifungani ya miaka 10

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
5,581
Reaction score
10,110
Neema kwa wawekezaji wale waliokuwa wanasita kuwekeza kwenye bond za B.o.t kutokana na kuwa na Muda mrefu wa kuiva kwa Bond sasa ni miaka 10 tuu hati fungani yako itakiwa imeiva.
Kuhusu gawio, wanatoa gawio la 14% kwa mwaka. Sio haba , lakini wazee wa compound interest hii haiwabebi
1745844147188.jpg
1745844142914.jpg
 
Nikuombe utupe ufafanuzi kwa wepesi zaidi sisi tusiokuwa na weledi kuhusu hizo hati fungani, mfano ukiweka milioni baada ya miaka kumi utarajie kuwa na kiasi gani
 
Nikuombe utupe ufafanuzi kwa wepesi zaidi sisi tusiokuwa na weledi kuhusu hizo hati fungani, mfano ukiweka milioni baada ya miaka kumi utarajie kuwa na kiasi gani
Kwa mwaka unapata gawio la 14% ya pesa yako. Nilazima uichukue. Baada ya miaka 10 ni mtaji wako tu ndio unauchukua
 
Neema kwa wawekezaji wale waliokuwa wanasita kuwekeza kwenye bond za B.o.t kutokana na kuwa na Muda mrefu wa kuiva kwa Bond sasa ni miaka 10 tuu hati fungani yako itakiwa imeiva.
Kuhusu gawio, wanatoa gawio la 14% kwa mwaka. Sio haba , lakini wazee wa compound interest hii haiwabebi
Mkiwekeza angalieni na hali ya uchumi wa nchi na serikali
 
Hapo labda kwa wenye pesa nyingi
Maana mwenye 5m Kwa mwaka atapata 700,000 Kwa mwezi 58,333 Sasa si Bora ufungue mixbyas
Ukiwa na zigo sawa ila wale wa kawaida hamna business hapo
Huko ligonga riba zimesimama milioni kwa mwezi inaenda hadi 40% per month
 
Hii inawafaa wadosi wanaoweza kuwekeza kunzia 500Mil ikiwezekana hata 1Bil kabisa....wangeweka compounding interest na sisi wazee wa kudozi tungejimwaga
 
Back
Top Bottom