IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,920
- 5,267
Leo hapa JF kumekuwa na mijadala mingi kuhusu kushuka kwa thamani ya TZS kwa dola(depreciation of Tanzania shilings against US dollar).
Kabla sijachangia niliamua kugoogle latest published audited financial statements za BOT nikakuta ya May 2014. Lakini cha ajabu kwenye financial position hakuna gold wala tanzanite ambazo sisi watanzania tunazo kwenye ardhi yetu.
Maana Mimi naamini moja ya fastest stabilisation ya home current(Tz) ni BOT intervention in a currency market na nyingine ni kuuza gold outside ili kupata dollar kwa haraka sana maana gold ni pesa.
Sasa swali langu ni kweli BOT haina gold reserve au macho yangu yameshindwa kuona.